Hahaha....
Kudadeki
Agggrrrr ushaniharibia apetaiti yangu.Nakuja na kinywaji changu kabisaView attachment 512259 ,nikishamaliza nitatoa jibu
Ndiyo maana kameanza kunitingishiaNani al;ikudanganya anapenda mimea??
Mletee hii makitu afun utanambia mwenyewe...
View attachment 512263
Acheni hizo bana uhalisia ni huuNdiyo maana kameanza kunitingishia
Nachelewesha basi nimeshakabebaSasa usipoteze muda.... fanya maamuzi magumu fastaa...
View attachment 512267
Ukishasoma futa kabla Numbisa na emmyta hawajaamka