Eti, nikalale wapi?

Eti, nikalale wapi?

Hahaha....

Swahiba umeniabisha leo umeshindwa kujua mchuchu anataka useme neno moja tu japo moyo wake ustuke
Tatizo sijajua kama ana vigezo na masharti swahiba...

 
Aah kama zawadi yenyewe ni hii kaa nayo
18645563_1441203399251105_6130437474209497088_n.jpg

Toa jibu kwa kauli bhana...

Acha kuzuga, au hutaki zawadi?
 
Nakuja na kinywaji changu kabisa
images(27).jpg
,nikishamaliza nitatoa jibu
 
Kudadeki

Asulubiwe kifo cha mende

Mwambie aje achukue ua lake kwangu
dcf51113273126965f201905d727dd4d.jpg

Nani al;ikudanganya anapenda mimea??

Mletee hii makitu afun utanambia mwenyewe...
upload_2017-5-20_22-29-36.jpeg
 
Back
Top Bottom