Eti nipite na huko.......

tena paka mweusi! kama una mdogo wako au sister wako nifanuie mpango! wapemba hawayawezi hayo! hayo yako mombasa banahh! hahaha!(MKUU IZI ZINGINE JOKES TU HUMU) USIZICHUKULIE KIIVO MKUU WANGU



Nakuaminia mkuu wangu na mimi nimegundua kuwa ni jokes ndio maana nikawapiga dongo wapemba,ushasikia wapi mpemba anaitwa markj
 
Last edited by a moderator:
hao wanawake hua mnawaokota wapi? hiyo kitu haijawahi kunitokea..mue jamani mnatafuta totoz sehemu za maana..

hiyo kaka sio kwamba ina sehemu wanakopatikana,popote pale unaweza kukutana nao.
 
Khaa! yaani umemaliza mchezo halafu unakuja kusikilizia jf!

Uamuzi unao mwenyewe na kama hilo jambo lilikukera au hukubaliani nalo ungekuwa umeshafanya uamuzi na hapa unatupa utekelezaji ili wengine wajifunze pindi wanapokutana na wa2 km hao.
 
Duh,nilishawai kuitwa mshamba kwa kukataa kula hiyo makitu.Ndio watu wetu hao tena mkuu
 

tena ukome hakuna dini iliyo halarisha hiyo kitu.
 
Kwa maana ingine wakati wewe unampigia mahesabu ya kuufungua ukurasa baada ya ndoa mwenzako alishaufungua na kuuandikia ukajaa na kugeuza page kabisaaa (P.T.O)

mwanajamii one kwa maana nyingine ni anaremba mwandiko wakati somo lenyewe ni imla.
 

itaachaje kukua wakati daily mnasimuliana na kutambiana! matokeo yake ndo hayo kila mtu anataka kujaribu.Mungu tuokoe na hii laana na ukilinde hiki kizazi.
 
mbona sie hatupati bahati kama hizo jamanii
 
ndo maana uwa tuna try before buying, sasa ungekuwa ushaonja hapo kabla si ungejua haya matatizo ukapiga chini mapema
 
Khaa! yaani umemaliza mchezo halafu unakuja kusikilizia jf!

Uamuzi unao mwenyewe na kama hilo jambo lilikukera au hukubaliani nalo ungekuwa umeshafanya uamuzi na hapa unatupa utekelezaji ili wengine wajifunze pindi wanapokutana na wa2 km hao.

kule alikotaka sikula,nachotaka ni je niendelee naye au nimbwage?
 
itaachaje kukua wakati daily mnasimuliana na kutambiana! matokeo yake ndo hayo kila mtu anataka kujaribu.Mungu tuokoe na hii laana na ukilinde hiki kizazi.

i never tried though i was forced to do it.
 
afu ukimwangalia kwa muonekano unaweza sema hapo kijana dume umeopoa kumbe umelamba garasa...

Don't judge a book wasichana wanajua kupritendi sana me nakaa na binti ukikutana nae unaweza kumuoa siku hiyo hiyo lakini tabia zake lo,kweli dunia imeharibika
 
Mi sijakuelewa, Tena sijakuelewa kabisaaaaa!! Ndo unataka tukupe ushauri Wa utakachoamua au ushauri Wa kula 0713 kwa Mara nyingine? Kama alikwambia hajaridhika kwa muda huo we ukafanyaje? Please malizia story ili nijue la kukomenti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…