Eti nipite na huko.......

Eti nipite na huko.......

achen iyo kidin ni dhamb,kibaiolojia uyo mwanamke atakuja pata matatzo wakat wa kuzaa kama unabsha waulize ma dr wa zbar
 
yani huko nyuma kwa huyo binti patakuwa wazh kama shimo na kwa wewe unaweza pata kansa kwenye iyo mashne kakaaa achaaaa
 
loh kazi kweli kweli ila ukisoma WARUMI 1:24 unasema hivi '' kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao, kwa maana walibadili kweli ya Mungu na kuwa uongo.

then mstari wa 26: unasema '' hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili.

mstari wa 27: pia unasema ''wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke ya asili wakawakiana tamaa , wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.
 
Tupa kule mkuu, hata mimi imewahi kunitokea tena kwa kasichana kadogo sana ambako nilidhani nitakaoa lakini kaliponiambia nibwie kisanvu cha kopo nikarusha kule na kukaambia kila mtu nyama yake

Unamwongopea nani wewe? Ungeachia ya kasichana? Huna lolote nafsi yako inakuwa inakusuta!.
 
Unamwongopea nani wewe? Ungeachia ya kasichana? Huna lolote nafsi yako inakuwa inakusuta!.

Simaanishi msichana bikra, bali ni msichana mdogo, mrembo lakini alikuwa na tabia za kimalaya ila mimi sikuwa najua, baadae nilivyochunguza niligundua anatembea na watu wakubwa walio na umri kama wa baba yangu.
 
Astaghafirullah! Usije kujaribu kufanya kitendo hicho!ni dhambi kubwa sana na machukizo makubwa mbele ya M'Mungu.Achana kabisa na huyoi binti...utasalimika.:nerd:
 
pole sana mkuu! Inakubidi kuachana nae na umwambie sababu ya kumuacha pengine inaweza kumsaidia kuacha hiyo tabia! Lakini ukimficha kuwa hiyo tabia ndio sababu utakuwa ujamsaidia!
 
ndio maana wakikaa kwenye viti wanaachia harufu mbaya
 
Back
Top Bottom