loh kazi kweli kweli ila ukisoma WARUMI 1:24 unasema hivi '' kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao, kwa maana walibadili kweli ya Mungu na kuwa uongo.
then mstari wa 26: unasema '' hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili.
mstari wa 27: pia unasema ''wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke ya asili wakawakiana tamaa , wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.