Eti, pesa inamaliza matatizo au matatizo yanamaliza pesa?

Peleka ujinga wako fesibuku huko. Kwa kawaida unatafuta pesa kwa ajili ya kukidhi mahitaji na kutatua matatizo yanayokukabili. Kwa kifupi kazi ya pesa ni kuondoa tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…