Sijui kwanini baadhi ya watu hampendi kuambiwa ukweli. Umeshaanza kusema mimi ni wao, Mimi hata ningekuwa wao nisingekuogopa haji nije na ID nyingine. Nakuambia wame move on maana kuna siku nimeona Mhusika mkuu anakuambia mambo yalisha isha uachane nayo tena hadi yeye mwenyewe anashangaa hadi akakuuliza kwani na wewe uliibiwa?Kina demiss na manengelo..!!
Wame move on nani kakwambia? πΉ
Au na wewe ni mmojawapo? Kuwa wazi ili tujue tunakusaidia vipi?
Maana wake wenza wa humu mna id nyingi za kuja kujitetea..!! πΉ
Wanaokereka wahamie jukwaa lingine, majukwaa yapo mengi wanaweza kwenda huko..!!So ipi n option bora kati ya kuondoa hao members au kufuta uzi?
Ukiwemo ww mana ww ndo kiongozi waoWanaokereka wahamie jukwaa lingine, majukwaa yapo mengi wanaweza kwenda huko..!!
Mnachunguza hadi vifaa vya kazi au sio, mafunzo mliyoyapata ya CIA mnayatendea haki πSisi tunaamini maneno ya kwanza ya shahidi πΉπΉπΉ
Yule ni wewe na vifaa vile ndo vya kazi yako..!!
Huo ni uongo sikumbuki, unaweza kunitag nikasome?Sijui kwanini baadhi ya watu hampendi kuambiwa ukweli. Umeshaanza kusema mimi ni wao, Mimi hata ningekuwa wao nisingekuogopa haji nije na ID nyingine. Nakuambia wame move on maana kuna siku nimeona Mhusika mkuu anakuambia mambo yalisha isha uachane nayo tena hadi yeye mwenyewe anashangaa hadi akakuuliza kwani na wewe uliibiwa?
Kuna Niffer alipostiwa humu, kuna Mama Sabrina, siku wanawake wakijitambua na kujua thamani zao basi ndio siku udhalilishwaji utaishaEwaaaahhhh..!! π₯
Ujue mi nashangaa sana watu kutaka kujifanya watakatifu zama hizi wakati enzi hizo walikua wanachekelea..!!
Huyo demiss alidhalilishwa tena na wanaume wala sio wanawake kweupeee..!!
Huyo manengelo naye hivyo hivyo na wote walibana visim kama sio wao, ajabu leo wanajifanya watakatifu na kuona kwa wale ilikuwa ni sawa..!!
Wanawake waache kutuma nyuchi zao hafu tuone kama kutakua na udhalilishaji humu..!!
Mbona simple kwann wasifanye hivyo?
Nitag, lakini huu ni uongo wa mchana kweupe..!!Kuhusu hao ngoja nikuambie labda haukuambiwa vizuri. Kipindi hicho palikuwa na battle kati ya wanaume na wanawake. Wanawake tulikuwa tunajoin forces kuwashambulia wanaume waliokuwa wanadhalilisha wanawake na wao wakajipanga wakaanza βkuchomoa betriβ huo ndio ulikuwa msemo wao . Wakajipanga kuwa wanachomoa betri ndio wakaanza na hao. Nikipata hizo nyuzi kama hazijafutwa nitakuonesha uone pamoja waliwachomolea betri lakini kwenye zile nyuzi walikuwa bado wanapopolewa na wanawake.
πΉπΉπΉ Mi siendi kokote selfika nipo sana..!!Ukiwemo ww mana ww ndo kiongozi wao
πΉπΉπΉ Mpaka picha za ukutani..!!Mnachunguza hadi vifaa vya kazi au sio, mafunzo mliyoyapata ya CIA mnayatendea haki π
Sio uongo. Chanzo cha wanaume kuanza kuchomolea wanawake betri ilikuwa ni hiyo.Huo ni uongo sikumbuki, unaweza kunitag nikasome?
Halafu mpaka unayajua hayo yote ni Kwamba na wewe humo kwenye hiyo cycle..!! πΉ
Nakumbuka juzi kati selfika mahondaw alisema, wakati tunagombana mimi na yeye akashangaa kwani na Lamomy anamtaka smart, ni sababu mimi na yeye tulikua marafiki..!! Na nilimjibu katika vitu siwezi hata kwenye maisha yangu nje ya JF basi ni kumtamani bwana wa rafiki yangu..!!
Wote hao lakini wanawake walinyamaza..!!Kuna Niffer alipostiwa humu, kuna Mama Sabrina, siku wanawake wakijitambua na kujua thamani zao basi ndio siku udhalilishwaji utaisha
Umeongeza ka chumvi hapo kwenye wao sijui kumove on na kumlisha maneno ya sijui nimeibiwa?Sio uongo. Chanzo cha wanaume kuanza kuchomolea wanawake betri ilikuwa ni hiyo.
Sasa kwanini nisijue kwani mlikuwa mnayajadili wapi? PM?π§ββοΈ . Mimi siwezi kubadili ID kwa sababu yoyote ile.
Kwani wewe aliyekuhadithia alikuambia ilikuwaje? Wanaume waliokuwa wanatusema walikuwa wanateseka sana kwenye mikono ya wanawake. Usijali nikipata nitakupa link ukasome kama hizo nyuzi hazikifutwa.Nitag, lakini huu ni uongo wa mchana kweupe..!!
Hao wadada wote walidhalilishwa sababu ya kukutana na hao wanaume kama ilivyo sasa..!!
Nyie jamani twendeni mbele tusirudi nyuma, nimemiss ugali dagaa, dagaa zitiwe vitunguu na nyanya nyingi, limao jingi, chumvi kiasi na pilipili, daaaaah!
Hapa SijaelewaπΉπΉπΉ Mpaka picha za ukutani..!!
Nakuelewa unaitamani ile sisterhood, mmoja akidhalilishwa wote tunaingilia kumshambulia aliyedhalilisha, upo sahihi pia nadhani hufanyika lakini sasa inabidi tukemeane wenyewe kwa wenyewe kama mtu hajiuzi anawezaje kumtumia mtu picha yake ya utupu? yawezekana pia isiwe yake lakini kwa kua kaituma yeye inajulisha ni yake, tuwaambie wenzetu wajitunze na kujiheshimu dunia haina huruma.Sijui kwanini baadhi ya watu hampendi kuambiwa ukweli. Umeshaanza kusema mimi ni wao, Mimi hata ningekuwa wao nisingekuogopa haji nije na ID nyingine. Nakuambia wame move on maana kuna siku nimeona Mhusika mkuu anakuambia mambo yalisha isha uachane nayo tena hadi yeye mwenyewe anashangaa hadi akakuuliza kwani na wewe uliibiwa?
Kuhusu hao ngoja nikuambie labda haukuambiwa vizuri. Kipindi hicho palikuwa na battle kati ya wanaume na wanawake. Wanawake tulikuwa tunajoin forces kuwashambulia wanaume waliokuwa wanadhalilisha wanawake na wao wakajipanga wakaanza βkuchomoa betriβ huo ndio ulikuwa msemo wao . Wakajipanga kuwa wanachomoa betri ndio wakaanza na hao. Nikipata hizo nyuzi kama hazijafutwa nitakuonesha uone pamoja waliwachomolea betri lakini kwenye zile nyuzi walikuwa bado wanapopolewa na wanawake.
Na haiwezekani 'kada' nzima ya Jf ikakosa sura za maana bhana.Simp akikataliwa anajifichia kwenye kichaka cha kuponda na kukosoa..!!
Mbavu zangu lol, kweli wewe umeipata ile feeling yanguBaada ya hapo ukute una penzi lako limenyooka hv π
Data kwenye simu yako sio kitu ya kuuliza
Huna madeni
Ukiangalia kushoto kulia mbele nyuma juu chini, unaona kila kitu ulivyokuwa una-wish kuwa navyo
Ah kudadeki, unaweza kujisahau na kuanza kumwambia Sir God abariki na wengine sasa π