Eti Pisi (Wanawake) wa JF ni wabovu? πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈ

Tusiseme sasa
 
Mimi pia sina bado. Sijaongeza chumvi Nimerudi kule kuangalia nimekuja na hii moja haukumbuki hii siku?
 

Attachments

  • IMG_7667.jpeg
    134.3 KB · Views: 10
Naitamani sana kweli.
Kweli kujitunza na kujiheshimu ni jambo la msingi. Melo atuwekee jukwaa la wanawake tuwe tunakafundishana humu tukija humu tunakaa kama hakijatokea kituπŸ€¦πŸ»β€β™€οΈ. Maana mapenzi mtu akishaingia wengine akili inaenda likizo.
 
Wanawake mna mambo sana.
 
Hizo picha zifute itakua ni zile za kudownload ili kumdhalilisha tu mtu, mtu anayetaka kudhalilisha mwingine huwa hachagui silahaπŸ˜…
 
Mimi pia sina bado. Sijaongeza chumvi Nimerudi kule kuangalia nimekuja na hii moja haukumbuki hii siku?
Hapo sasa ni wapi aliposema mambo yao yameisha na wao wame move on? Au umesahau ulisema nini kule mwanzo?

Haya sasa endelea kusoma niliongea nini kuhusu hilo alilosema?

Sikiza nikwambie labda wewe hujanijua vizuri, mimi sipendi mwanamke yoyote asemwe na mwanaume kwa ubaya wake au muonekano wake. Juzi kati nilikiwasha sana kutokana na uzi wa min me kuponda wanawake wa JF haswa wa jukwaa la selfika..!!

Pitia Uzi wake utaona..!!

Kuhusu suala la wake wenza wanaoshare mboro na kuja kusutana na kudhalilishana hao sina msaada nao sababu wanajua wanachokigombania..!! (Hao lazima nipitishe unafki shengesha lipambe moto) Ni mambo ya kike

Kuhusu wanaume ambao wanavujisha pic za wanawake, hilo nilishaongelea na nishakula ban sana kisa kukemea..!!

Hao pia sina msaada nao sababu ni SIKIO LA KUFA.
Halafu siwezi kuingilia mahaba yao na biashara zao wanazofanya..!! Hapo wanawake wenyewe WAJIHESHIMU.

Kama mwanaume anaweza kushare nudes pic zako kwa member wengine means amekudharau na amekuona wewe MALAYA

Kosa ni lao binafsi KE ambao wameshindwa kutambua thamani zao na watu sahihi wa kudate nao..!!
 
Hizo picha zifute itakua ni zile za kudownload ili kumdhalilisha tu mtu, mtu anayetaka kudhalilisha mwingine huwa hachagui silahaπŸ˜…
Kiongozi upo? 😹

Pics sio za kudownload mi ni mtaalamu kwenye ile sekta ya kuzoom..!! 😹

Pic zinaonyesha sura mbili, ya chini na ya juu..!!

Nifute ili iweje sasa?
 
Leo sasa mkubaloane kuwa haya yote yameisha na yameshapifa kwa hiyo watu wasonge mbele hakuna tena kurudi nyuma, pia watu wafute hizo picha muanze upya kutokea hapoπŸ˜…
 
Nikataka nidhanie umeandika nyuzi ya kuponda mwanamke ningejiuliza hiyo tabia umetoa wapi
 
Kiongozi upo? 😹

Pics sio za kudownload mi ni mtaalamu kwenye ile sekta ya kuzoom..!! 😹

Pic zinaonyesha sura mbili, ya chini na ya juu..!!

Nifute ili iweje sasa?
Kwema tajiri, nasema mzifute ili muanze upya kusiwe tena na hizi mambo huu ushauri wangu mnapaswa kuuchukua
 
Leo sasa mkubaloane kuwa haya yote yameisha na yameshapifa kwa hiyo watu wasonge mbele hakuna tena kurudi nyuma, pia watu wafute hizo picha muanze upya kutokea hapoπŸ˜…
Yameisha lakini SIFUTI

Nimeanza biashara mpya ya kuuza vifaa vya usafi, hizo pic nitazitumia kama BEFORE AND AFTER..!! 😹
 
Nawaunga mkono kwenye hili. Picha zote mbaya zifutwe muwe kitu kimoja muanze upya mshirikiane
Lamomy huu ushauri ni wa kujenga
 
Ni kweli bana hata sio uongo jf ina pisi mbovu kweli kweli maana binafsi sijaonana na hata mmoja wao natumia imagination tu, so kwa imagination yangu zitakuwa mbovu tu
 
Umeongea kwa busara kubwa sana na umeibariki jumapili yangu vyedi kabisa. Sasa basi ili tupate pa kuanzia inabidi hizo picha zote zofutwe huko pm na kwenye simu zenu, alafu muache kushambuliana. Hapo mtajenga
 
Yameisha lakini SIFUTI

Nimeanza biashara mpya ya kuuza vifaa vya usafi, hizo pic nitazitumia kama BEFORE AND AFTER..!! 😹
Warumi 12:2

Futa hizo picha na utabarikwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…