Pm yangu iko swafiii kabisa ๐นUmeongea kwa busara kubwa sana na umeibariki jumapili yangu vyedi kabisa. Sasa basi ili tupate pa kuanzia inabidi hizo picha zote zofutwe huko pm na kwenye simu zenu, alafu muache kushambuliana. Hapo mtajenga
Wataunganaje ikiwa bado mnapsleka mashambulizi. Inatakiwa nyie wengine ndio muwaunganishe na si kuwachocheaMpaka niwaone wake wenza wakicheka na kushirikiana na mimi ndo nitaungana nao..!! ๐น
Hapo fresh tajiri, sio poa kukaa na picha mbaya za mtu. Haipendezi alafu inakuwa inakunyima barakaPm yangu iko swafiii kabisa ๐น
Siwezi kuhifadhi vitu vya kunipofua macho mimi..!! ๐น
Wewe mbona unakaa nayo ndani na unaishika haikunyimi baraka? ๐นHapo fresh tajiri, sio poa kukaa na picha mbaya za mtu. Haipendezi alafu inakuwa inakunyima baraka
Hapo wa kuwaunganisha wanaume zao, nikisema niwaunganishe huo ndo unafki wenyewe..!! ๐นWataunganaje ikiwa bado mnapsleka mashambulizi. Inatakiwa nyie wengine ndio muwaunganishe na si kuwachochea
Pia kamati ya roho mbaya ivunjwe rasmi
Ndani gani bana, nishaogopa ndoa watu wanauana tu๐Wewe mbona unakaa nayo ndani na unaishika haikunyimi baraka? ๐น
Nitajie id zao mm nitajitahidi Kila niwezalo niweze kuwaunganisha wawe marafiki, hakuna kinachoshindikanaHapo wa kuwaunganisha wanaume zao, nikisema niwaunganishe huo ndo unafki wenyewe..!! ๐น
Wao waungane kivyao waone kama kuna mtu atawafatilia..!!
Acha uoga, oa kijana.!.! ๐นNdani gani bana, nishaogopa ndoa watu wanauana tu๐
Au sio? ๐นNitajie id zao mm nitajitahidi Kila niwezalo niweze kuwaunganisha wawe marafiki, hakuna kinachoshindikana
Mali nazitoa wapi? Nyie mnaoendesha mabenz ndio wenye mali bana๐Acha uoga, oa kijana.!.! ๐น
Tafuta mwanamke ambaye tayari ana mali zake, kisha muanze kutafuta za pamoja kwa ajili ya watoto..!!
Wewe una mali zako ambazo hazimuhusu na yeye Anazo za kwake..!!
Halafu wote mnakua mnachangia kujaza mali za watoto na majina yanasoma watoto wenu..!!
Ningependa wapatane maisha yaendelee๐Au sio? ๐น
Wewe ndo unataka kuyafufua sasa..!!
Mkuu bado sijapata. Lakini mi napenda sana mwenye akili nyingi na kipimo ni comments/threads zake.Haiwezekani, JF ina pisi kali tupu..!!
Hivi wewe wako yupi kiongozi?
Hapo kwenye msura ulivyokazia sasa ๐น๐นMkuu bado sijapata. Lakini mi napenda sana mwenye akili nyingi na kipimo ni comments/threads zake.
Huwa si'mind msura, nshagapita huko.
Kwenye Jf mpo kama wa3 wenye madini sana nawapenda.Hapo kwenye msura ulivyokazia sasa ๐น๐น
Karibu rafiki..!!Kwenye Jf mpo kama wa3 wenye madini sana nawapenda.
Nataka niwafanye kuwa maraffiki zangu wa keyboard.
Siitathimini appearance ya mtu, nahusudisha madini mie.