ππππKuna huyo Gunner kizibo na kuna mwengine anajifanya dokta uchwara sijui yupo Marekani mara analewa muda wote, lol, ukiwasoma michango yao unaona kabisa ni watu wanaohitaji msaada wa afya ya akili, hawapo sawa msiwazingatie sanaa
Ifike mahali wanawake tuache kugombana kwa sababu ya wanaume. Anakupenda atabaki na wewe hatoenda kwa mwingine.Kilichotokea ni kua walianza kutumiana vivocha na kutongozana wengine walikulana ukweli ukweli mambo yakaenda vibaya, sasa yale mawivu na mahasira hao wanawake wamehamishiana wenyewe kwa wenyewe, kiufupi ni njaa kali za baadhi ya wenzetu
ππππKilichotokea ni kua walianza kutumiana vivocha na kutongozana wengine walikulana ukweli ukweli mambo yakaenda vibaya, sasa yale mawivu na mahasira hao wanawake wamehamishiana wenyewe kwa wenyewe, kiufupi ni njaa kali za baadhi ya wenzetu
πππChanzo ni kushea mboro na kuanza kutambiana na kuzodoana wenyewe kwa wenyewe..!!
Na wanaume kuvujisha picha za utupu za wanawake walizotumiwa..!!
Wambea sisi kazi yetu kuwasaidia kuchimbua yaliyojificha kati ya hao wake wenza..!!
Natamani niwajue kwa majina dr! please!!Kilichotokea ni kua walianza kutumiana vivocha na kutongozana wengine walikulana ukweli ukweli mambo yakaenda vibaya, sasa yale mawivu na mahasira hao wanawake wamehamishiana wenyewe kwa wenyewe, kiufupi ni njaa kali za baadhi ya wenzetu
Sasa wambea mna exaggerate haya mambo kana kwamba ni ya ajabu sana katika jamii yetu ya Africa.Chanzo ni kushea mboro na kuanza kutambiana na kuzodoana wenyewe kwa wenyewe..!!
Na wanaume kuvujisha picha za utupu za wanawake walizotumiwa..!!
Wambea sisi kazi yetu kuwasaidia kuchimbua yaliyojificha kati ya hao wake wenza..!!
Hata wewe ni (......) Kiavatar kinasadifu yaliyomo hapa JF.....Wacha wee!!
UsiniambieHata wewe ni (......) Kiavatar kinasadifu yaliyomo hapa JF.....
Ooook!!! mkuuUsiniambie
Hahahaaaaaa unalako jambo mkuu, unamwitaje hivyo?Kokastichiii
Rhabhekhaaa πππKokastichiii π€£
Samahani mkuu, kwani umejiunga Jf ukitokea kijiji gani...
πππNamwelekeza kijana jina linavyotamkwa
Mimi siwezi kukusamehe.Aisee, kumbe hili suala limekuwa zito namna hii...
Naona watu mnaandika kwa hisia sana.
Kama kuna KE yeyote aliyekwazika kwa maoni yangu yoyote naomba anisamehe bure tu.