Bwana steve! Kunywa hata asali nipe lipa namba chaaappπ€Έπ½ββοΈNdomana nikisema humu JF kuna wachawi watu wanabisha.
Huyu jamaa ana element zote znazo ashilia ni mchawi na mtu wa kufwatilia maisha ya watu.
Haiwezekani unashinda humu kufwatilia ID gani inalala mda gani na kutoka online mda gani.
Sawa, nakubali maamuzi yako.Mimi siwezi kukusamehe.
Nashukuru kwa mawazo yako ila bango siliachilii!Sawa, nakubali maamuzi yako.
Chamsingi nilijaribu kuweka mambo sawa, mengine ni nje ya uwezo wangu.
Ooooh!!Gashi geko....sawa .Huyo ni ni bestie wangu kabisa
Jina lake ndivyo linavyotamkwa sio Kokastiki
Wote wa kiume tu kasoro lamoSeat ya mbele, kusoma mtifuano huu mkali.
Niko na πΏ zangu.
Ko hadi mie? πππWote wa kiume tu kasoro lamo
Dear,subiri nikipata glass 2 tu za wine na pafu 3 za shisha nakuja kutaja majina yoooooteNatamani niwajue kwa majina dr! please!!
Hakikisha ukitaja majina unani tag kabisa.Dear,subiri nikipata glass 2 tu za wine na pafu 3 za shisha nakuja kutaja majina yooooote
ππππNi matokeo ya kukataliwa, kuna mmoja humu amesema ametongoza wanawake 10 facebook amekataliwa akaja na huku akapigwa cha mbavu sasa imekuwa wanawake wote ni wabaya,
AsanteTatizo watu wana matarajio makubwa sana juu ya watu walio mitandaoni bila kujua kwamba tuliomo humu ndio tupo na mitaani. Wanatamani member wa jf tuwe wazuri kama malaikaπππ.
Ila ule uzi wa selfika ufutwe tu. Ukisoma ule uzi sio wanaume tu, hata wanawake kutwa nzima kutukana na kudhalilisha wanawake wenzao. Unakuta mwanamke kila siku ni ku body shame wanawake wenzao. Sasa kama sisi tu tunadhalilishana namna hiyo ndio iwe kwa wanaume?
ππBahati mbaya huenda hajakutana na mdada hata mmoja, ni assumptions zake tu, hasa baada ya kukataliwa huko piemuni. Hasira za kuwa rejected ni mbaya sana, mbinu zake za kuwapata hawa watu hata kuonana tu zimekuwa butu sana huyu kijana...
πππDear,subiri nikipata glass 2 tu za wine na pafu 3 za shisha nakuja kutaja majina yooooote
Pisi za Jamii forum niWasalaam wakuu,
Kumekuwa na tabia mbaya humu JamiiForums ya baadhi ya vijana wa kiume kuanzisha nyuzi au kutoa comments za kuwakejeli na kuwabeza wanawake baada ya kuona picha zao kwenye jukwaa la Selfika.
Kwa kweli hii inasikitisha na inatufedhehesha wanaume.
Kaka, kama hujapendezwa na mwonekano wa dada fulani, pita tu. Si lazima kila unachokiona ukikosoe. Huna jukumu la kuwa jaji wa sura, miili au thamani ya wanawake wa JF.
Jiulize: Unapata faida gani kumdhalilisha mtu? Maisha yako yanabadilika? Unakuwa mwanaume bora? Au unajisikia tu vizuri baada ya kumuumiza mtu ambaye hakukufanya chochote?
Mwanaume mwenye kujitambua anajua tofauti kati ya preference na disrespect. Unaweza kusema βsi aina yanguβ bila kumdhalilisha mtu.
Na kabla hujaandika comment ya kumkejeli mwanamke kwa mwonekano wake, kumbuka nyumbani kwako kuna mama, dada, shangazi, mke au binti. Je, ungefurahia mwanaume mwingine akiwadhalilisha kwa namna hiyo?
Uhuru wa kuandika sio ruhusa ya kukosa staha.
Kijana, tafuta KISUDI cha maisha yako. Fanya kazi zako, biashara yako, familia yako na akili yako. Dunia ina mambo mengi ya kutatua kuliko kukaa nyuma ya keyboard kuwavunjia wanawake heshima.
Kumshusha mwanamke hakukufanyi uwe mwanaume zaidi.
Kama picha haikupendezi, scroll down.
Kama sio type yako, endelea na maisha yako.
Lakini heshima ibaki.
JamiiForums ni sehemu ya mijadala, sio uwanja wa kuwavunjia watu utu
Mwanaume wa kweli hahitaji kumdhalilisha mwanamke ili ajisikie yeye ni mwanaume
Majiraniiii ππππ
Hukuuuu πππMajiraniiii π
Nilikua nashangaa hujawaita aseeπHukuuuu πππ
πππNilikua nashangaa hujawaita aseeπ