Eti Pisi (Wanawake) wa JF ni wabovu? πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈ

Kilichotokea ni kua walianza kutumiana vivocha na kutongozana wengine walikulana ukweli ukweli mambo yakaenda vibaya, sasa yale mawivu na mahasira hao wanawake wamehamishiana wenyewe kwa wenyewe, kiufupi ni njaa kali za baadhi ya wenzetu
Like seriously πŸ™„
Ss mbona ni utoto na upuuzi?
Anyway acha wengine tuendelee kuwa wapenzi watazamaji
No way
 
Ukiwa mwanamke, automatically lazima uwe pisi kali, mm naweza nisikuone pisi kali kwa vigezo vyangu ila kuna mwamba anakuona n pisi kali kwa vigezo vyake.

Binafsi naona jf wapo pisi kali na wngn n wa kawaida, So mm naona wote wapo sahihi.
 
Tawire 🀝
 
Hata hivyo,
Ubovu wao unawapunguzia nini wanaume jamani,?
Kwani wamesema wanatafuta wanaume?
Hebu acheni watu wa enjoy maisha Yao.
Pisi Kali tafuteni mtaani kwenu na kuna jukwaa la picha za warembo world-wide,nendeni huko.

Sidhani kama wanawake wapo hapa kutafuta justification ya uzuri wao kwenu.
 
Uzi wa selfika ni moja kati ya uzi za kipumbavu kuwahi kutokea JF, nadhani uzi ulikuwa na nia njema ila wapumbavu wakaugeuza kuwa uzi wa kipumbavu.
 
Kumbe humu JF kuna uzi watu wanatuma picha zao!
Mbona sijawahi kuuona huo uzi?
Hivi inakuwaje mpaka mtu unatuma picha yako hapa JF? sio kwamba nawapangia ila inashangaza!
Nipe sababu moja n kwann watu wasitume picha zao hapa JF
 
Ngoja waje watume picha ku prove wao sio wabovu sema wamesha fika level ya mishangazi
 
Kuna muda huwa sielewi. Hivi kuna aliyejiumba kweli?

Halafu mkumbuke sisi wa huku Tandale ambao vyoo vyetu havina milango ndo sisi sisi tupo humu jf.

Ukiachilia sura hizo mnazosema mbovu hata upande wa mazingira huwezi kukuta picha zetu zikiwa na mandhari kama ya mazingira ya watu wanaoishi Masaki na Obey huko.
 
Kuwadhalilisha wanawake maumbile yao hua ni tabia za wavulana,Mwanaume anayejielewa hawezi kufanya hivyo,

Huwezi kumwambia Binadamu mwenzako kua ''Wewe ni mbaya'' coz hawezi kujibadilisha,unaweza ukamkosoa mtu tabisa zake ila sio jinsi alivyo umbwa,huko ni sawa na kuukosoa uumbaji wa Mungu,

Halafu hakuna binadamu akawa mbaya kwa watu wote au akawa mzuri kwa watu wote,kauli ya kusema ''JF hakuna pisi kali'' ni kauli ya mtu aliyekata tamaa na kutumia hasira zake kudhalilisha wanawake ili japo ajitengenezee faraja ya muda mfupi.
 
Dada mi nawataka hivohivo na sura zenu mbovu kwani huna kifanyio?
 
Uko sahihi Mkuu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Watukome wambea, umalaya wao ndo chanzo..!! 😹😹😹

Halafu mi mijitu minafki siipendi, eti zamani tulikua nyoko nyoko tupo sawa..!!

Haya tuwaulize demiss na manengelo ni wa kipindi kipi?
Wakati wanadhalilishwa hao wanawake wa sasa hivi wanaojiita wa zamani walichukua hatua gani kuwasaidia wanawake wenzao??

Zaidi ndo yalifurahi ili yawe huru kudate na hao wanaume kwa kujua wenzao ni visu walikua wanawakabia kwa juu..!! 😹😹😹

Bora sisi sasa hivi tunabalance mzani hatuko kwa yeyote..!!

Nasemaje selfika haifi na uzi tunao na tunatamba nao..!!

Selfika mabegani..!! 😹😹😹
 
Announcement πŸ“£

Wanawake kutuma ngomosi zenu sio issue, tumeni ndo mahaba hayo..!! 😹😹

Lakini kabla hamjawatumia kina shemeji hakikisheni usafi umezangatiwa na mimi Lamomy nipo kwa ajili yenu..!!

Nauza vifaa vyote vya 🐈 mje mniungishe..!!

Tunataka twende next level, likivuja watu wapigwe na butwaa pm zijae watu watamani kuja kufanya utalii wa ndani..!!

Au nyie mnaonaje mahi zangu? 😹😹

Wateja 10 wa mwanzo nna offer kwa ajili yenu..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…