Mi nafikiri ungewapa ushauri hao wake wenza na mabwana zao..!!Sasa wambea mna exaggerate haya mambo kana kwamba ni ya ajabu sana katika jamii yetu ya Africa.
How can the same drama last for nearly four or five years?π€¦π»ββοΈπββοΈ Pengine hata wahusika wamesha move past it and made up, but you guys just won't let it rest.
Kwani kuna kitu chochote mnabenefit from holding onto this? Hamuoni wambea mnatumika? Tupendaneni bana .
Dr ππKilichotokea ni kua walianza kutumiana vivocha na kutongozana wengine walikulana ukweli ukweli mambo yakaenda vibaya, sasa yale mawivu na mahasira hao wanawake wamehamishiana wenyewe kwa wenyewe, kiufupi ni njaa kali za baadhi ya wenzetu
Acha uoga mahi πΉNdio maana mimi niliukataa tangia siku ulioanzishwa ππ trauma nilizozazo kwenye real life zinanitosha
πΉπΉπΉπΉKuna crew ya wadada, ilipojimilikisha tu selfika nikaona hapa hapafai tena, wapo kutafuta mipira iliyokufa ili wapate topics.
πΉπΉπΉπΉ khaaaaa..!!Kuna wadada saa nane usiku unawakuta online. Afu saa mbili asubuhi hadi mchana wapo online. Wanapata nn JF?
Njoo nikutajie πΉNina hamu sana niwajue hao wadada wanaotukana wenzao
Ili mniwekee vikao vya kunisimanga ππAcha uoga mahi πΉ
Em twende kwanza ukanibless nione uumbaji wa Mungu..!!
Hivi ni kwa nini hisia zinaniambia wewe ni mmojawapoππNjoo nikutajie πΉ
Mi sina tabia hiyo..!!Ili mniwekee vikao vya kunisimanga ππ
NakaziaUzi wa selfika ni moja kati ya uzi za kipumbavu kuwahi kutokea JF, nadhani uzi ulikuwa na nia njema ila wapumbavu wakaugeuza kuwa uzi wa kipumbavu.
Mimi? HAPANA πΉHivi ni kwa nini hisia zinaniambia wewe ni mmojawapoππ
Lakini huchoki kuutembelea kutafuta mademu.!.! πΉUzi wa selfika ni moja kati ya uzi za kipumbavu kuwahi kutokea JF, nadhani uzi ulikuwa na nia njema ila wapumbavu wakaugeuza kuwa uzi wa kipumbavu.
Kwan humu jf kuna mada ngapi za kipumbavu na bado nazipitia?Lakini huchoki kuutembelea kutafuta mademu.!.! πΉ
Unaposema unashangaa mtu kutuma picha zake maana yake kwako n jambo la ajabu na sio sahihi, kwa upande wako.Unaweza kuonyesha sehemu ambayo mimi nimesema au nimekataza watu wasitume picha zao?
πΉπΉπΉπΉ Sema kweli?Kwan humu jf kuna mada ngapi za kipumbavu na bado nazipitia?
Cjawah kutafuta mademu huko, h taarifa unayo ww mwnyw mm mhusika siijui.
Huu uzi ulifutwa kumbe ulirudi tena.
Jambo limeliongea mimi,so tafsiri yake naijua mimi na lengo langu la hiyo kauli naijua mimi,Unaposema unashangaa mtu kutuma picha zake maana yake kwako n jambo la ajabu na sio sahihi, kwa upande wako.
Narudia tena,wapi nimesema wasitume? Unajua maana ya alama ya question mark? Rudi tena ukaisome hiyo comment yangu,Ndo nakuuliza kwanini wasitume?
Kushangaa kwangu,wewe kunakuhusu nini mpaka ujue kwanini nashangaa?OK, naona unataka kurefusha mambo, jibu hili π
Kwann unashangaa watu wakituma picha zao humu
Sidhani km ulifutwaHuu uzi ulifutwa kumbe ulirudi tena.
Maria id yako kongwe ipi mahi wetu? πΉ
Mm niliwah kumchek Melo pm khs ule uzi na akajibu pm zangu Ila mwisho wa siku naona kanipuuzia