Mnaokwenda kuombewa kwanza hamna uhusiano mzuri na Mungu BABA YENU. Hailezeki hata kwa maisha ya kibinadamu una baba yako mzazi huwezi kumuendea kumuomba kitu mpaka utumie kuwadi fulani anayejiita mtume, nabii,kuhani, mwalimu nk eti akuombee. Huu ni upumbavu na afya mbovu ya akili. Kama ulienda mahali ukaombewa ukapata ulichotaka JUA WAZI UMEPATA KWA MLANGO WA KISHETANI. Yesu alisema hata wateule wataingizwa kwenye mrengo huo. Ghadhabu ya Mungu inakusibiri.