Justin Dimee
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,146
- 248
Ni best angu leo tulikuwa tunapiga nae story hapa dah sasa ndipo aka anza kuniambia kutongoza mwana mke mpaka awe kwenye lini ni kaz kubwa na ndio maana ikawekwa kwa wanaume jasiri coz ukichek wana wake wanapata tabu sana pale wanapo tongoza mwana ume coz wao co jasir kama wana ume
but mi ni ka mwambia c dhani kama yeye ata kuwa sahihi coz mi kwa upande wangu na chukulia kutongoza ni jambo lakawaida tu
vp humu jamvini mna weza semaje kuhusu swala hili!'?
but mi ni ka mwambia c dhani kama yeye ata kuwa sahihi coz mi kwa upande wangu na chukulia kutongoza ni jambo lakawaida tu
vp humu jamvini mna weza semaje kuhusu swala hili!'?