fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
watamfungia kimpira, siyo kwenye mahakama za kiraiaHii ni kauli ya Karia,kwahiyo siku hizi masuala ya mpira yanapelekwa mahakamani? Wakati jamaa fulani walikuwa wanapeleka kesi mahakami,si mlipiga kelele kuwa masuala ya mpira hayapelekwi mahakamani,sasa imekuwaje?
Karia kachemka kwanini iwe akiharibu mechi ya kesho na haikuwa katika mechi zote za ligi kuu hata kwa timu za kawaida?watamfungia kimpira, siyo kwenye mahakama za kiraia
a good strategyRefa yeyote ili ajiepushe na lawama itabidi a-officiate mechi imalizike kwa droo.