figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Eti Samia anataka kuwaachia tabasamu la kauli mbiu ya PESA kwa Watanzania. Kwamba kila Mtanzania anqchofanya kitakuwa ni pesa. Je, yeye pesa hazitaki? Anawaacha Watanzania anaenda wapi?
Mbona kama kakata tamaa?
Je anataka kutukimbia watanzania?
Anataka kwenda wapi?
View attachment 3562144
Gentleman,Eti Samia anataka kuwaachia tabasamu la kauli mbiu ya PESA kwa Watanzania. Kwamba kila Mtanzania anqchofanya kitakuwa ni pesa. Je, yeye pesa hazitaki? Anawaacha Watanzania anaenda wapi?
Mbona kama kakata tamaa?
Je anataka kutukimbia watanzania?
Anataka kwenda wapi?
View attachment 3562144
Akifa Watanzania watatabasamu!Eti Samia anataka kuwaachia tabasamu la kauli mbiu ya PESA kwa Watanzania. Kwamba kila Mtanzania anqchofanya kitakuwa ni pesa. Je, yeye pesa hazitaki? Anawaacha Watanzania anaenda wapi?
Mbona kama kakata tamaa?
Je anataka kutukimbia watanzania?
Anataka kwenda wapi?
View attachment 3562144
Kwa huu mwaka 2029?We nae ni MPUMBAVU wa hiari.
Ninani asiyejua kuwa muda wa rais Samia kukaa madarakani ni chini ya miaka 5? Na baada ya hapo anaondoka Kama walivyoondoka waliomtangulia.
Hata Kama una chuki jaribu kutumia akili.
Kwa huu mwaka 2029kuelewa
Huu mwaka 2026 au 2029?Sijakuelewa
2029?Swali la KIPUMBAVU hili we mswahili.
Huyo ponjoro mnafiki sana ametuulia watoto wetu ndiyo tabasamu hilo?Eti Samia anataka kuwaachia tabasamu la kauli mbiu ya PESA kwa Watanzania. Kwamba kila Mtanzania anachofanya kitakuwa ni pesa. Je, yeye pesa hazitaki? Anawaacha Watanzania anaenda wapi?
Mbona kama kakata tamaa?
Je anataka kutukimbia watanzania?
Anataka kwenda wapi?