Wajameni.
Wkt nakula bia mhudumu wa bar alinitolea mpya Leo.
Mimi. "Wewe dada lete Serengeti lite, na konyagi. Gras iwe ndefu tafadhali"
Mhudumu. - Huyo akaenda akaja na bia Serengeti baridi na konyagi kaschana. " Serengeti Moja au mbili." ?
Mimi. "Mbili"
Muhudumu. " Niya panue?"
Mimi. "Heee...!?! Upanue nini dada?
Muhudumu. "Maji"
Mimi. (Huku nashangaa shangaa ) nikamcheki nyuma nikaona tako lipo.
Dada" Nahizi bia nifungue zote?"
Mimi. " panua zote"; (dada akacheka)
Natafakari bado tofauti ya kupanua na kufungua.
Ukiagiza bia Sema "panua bea sio fungua bia no".