Eti supu ya pweza au nyama yake inasaidia nini?

Nilijaribu kunywa supu ya pweza nilishindwa dahh naona ni za watu wa pwani hizo maana nilikuwa na game tight siku hiyo nikashauliwa kupasha na supu ya pweza nikachemka kabisa.
__________________
BASI HIYO YAKO SUPERGET
 
Ulichemkaje Fidel,yaani nonino ilikataa kuninhii?

Umenikumbusha safari yangu ya kwanza kufika Tanga. I bed umewahi kufika Chumbageni (pale mwembe mawazo) au Makorora, na barababa 15 pia!!🙄
 
Hivi kuna alternative supu zaidi ya supu ya pweza? Nimejaribu kunywa supu ya pweza imeniletea allergy kali kweli kweli...! Yaani mwili woote ulinivimba na kuanza kuwasha kila kona...! NIkaishia kulala kitandani kwa siku mbili na hata game sikuweza tena...!

Naombeni ushauri, je kuna supu nyingine yenye kuongeza nguvu zaidi ya supu ya pweza?
 

Mkuu kuna vimizizi flani hv sema kuna mzee alinirekebishia siku moja eeh bwana eee! Nilipiga game bila kutepeta hadi raia aliamua kuingia mwituni maana mziki ulimshinda.
Kama supu hauwezi basi jaribu mizizi!
 
Kwakweli SUPU ya pweza inaongeza NGUVU mwilini na ukinywa uwe na uhakika wa gemu otherwise mmmm; hata ile sehemu wanapouza ukienda kunywa watakuuliza unamke? sehemu yenyewe ni mtaa wa lindi kama unaelekea kawawa road KAPLITO ndio zake uwa wanauza kuanzia saa moja usiku.
Muhogo chakula cha wanga nao unaongeza nguvu mwili USIPIME KAMA UNAMKE AU MECHI.
 
Tutapataje hiyo mizizi kuhakikisha/ How long it tek to erect?
 

Aha?!.........................................Ok byee!
 
Uncooked starch (yaani miogo mibichi) is never digestible by your body....! it is as good as eating sand. Digestion of any starch starts from the mouth whereby it is mixed by Saliva (mate ya mdomoni) where it breaks down the starch.

Kama "digestion of any starch starts from the mouth mixed by Saliva," na mihogo mibichi haiwi digested in the mouth, ina maana mihogo mibichi inamezwa kama kidonge, haitafunwi kuchanganywa na saliva. Au?

Kabla binadamu hajagundua moto alikuwa anapata wapi nishati kama wanga mbichi ni sawa na kula mchanga?

Hebu onyesha chanzo hapa kinachosema wanga mbichi ni sawa na kula mchanga, Mhafidhina!
 
Tutapataje hiyo mizizi kuhakikisha/ How long it tek to erect?

Mkuu mizizi ile nilianza kuikandamiza kama masaa mawili vile kabla ya game believe me it was an amazing performance.
Labda nikuulize katika maisha yako uliwahi nanii hadi;
1.Mtu akikimbia uwanja
2.Mtu akazimia ikakulazimu umpepee
3.Aka paa mwezini kabla ya siku

Kama hata moja hapa hauna basi we bado sana..
 
Kuhusu mizizi kwa Dar matapeli wamekuwa wengi, wamasai ndo usiseme!! Wadau nawashauri supu ya pweza, hii mizizi kupata ginuine ni issue, si unajua oour markets are flooded with fake products!!

Labda tuambiane vijiwe vya pweza maarufu hapa dar, ili kagiza kakiingia tujivute jamvini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…