dmaujanja1
JF-Expert Member
- Nov 24, 2008
- 223
- 68
Kwenye SUPU ya Pweza umedandia maada eeeh!Kwenye nn mkuu?
Last edited:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye SUPU ya Pweza umedandia maada eeeh!Kwenye nn mkuu?
BASI HIYO YAKO SUPERGET
Ulichemkaje Fidel,yaani nonino ilikataa kuninhii?
Ulichemkaje Fidel,yaani nonino ilikataa kuninhii?
ukitaka kupatia zaidi piga supu ya pweza na konyagi.... ha! ha!ha! haaaaaaaaaaa
Hivi kuna alternative supu zaidi ya supu ya pweza? Nimejaribu kunywa supu ya pweza imeniletea allergy kali kweli kweli...! Yaani mwili woote ulinivimba na kuanza kuwasha kila kona...! NIkaishia kulala kitandani kwa siku mbili na hata game sikuweza tena...!
Naombeni ushauri, je kuna supu nyingine yenye kuongeza nguvu zaidi ya supu ya pweza?
weeee mkuuu usisemeee mioyo ya watu hapa dar kuna wadada huwa wanauza mihogo mibichi posta kwa ajili ya kutafuna tu na wanaume ndo wanaongoza kula, nimeshuhudia kwenye foleni ya magari upande wa baharini watu wamepaki gari wanamenyewa muhogo watafune.........
ukitaka kupatia zaidi piga supu ya pweza na konyagi.... ha! ha!ha! haaaaaaaaaaa
Uncooked starch (yaani miogo mibichi) is never digestible by your body....! it is as good as eating sand. Digestion of any starch starts from the mouth whereby it is mixed by Saliva (mate ya mdomoni) where it breaks down the starch.
Tutapataje hiyo mizizi kuhakikisha/ How long it tek to erect?
Labda nikuulize katika maisha yako uliwahi nanii hadi..