King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Imekaa Njema - Ni backup source of power.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili nalo watasema ni ChademaTuliambiwa umeme ukikatika hutajua ina-backup ya saa 2 imekuwaje tena shekh?
Nchi inaendeshwa na matapeli tupuHili nalo watasema ni Chadema
Unaamini katika karne hii matumizi ya umeme au gesi au dizeli yanahitaji maono? Bado kidogo mtaanza kulilia viongozi wenye upako!Mbeba maono hayupo 😀
Mbona makampuni binafsi hatusikii ufisadi wala hujuma? hapa ni viongozi hawa CCM ni majangili tupuNgozi nyeusi hii ni tatizo. Hakuna maono. Hakuna mambo ya legacy. Nitawaachia nini watu wangu. Ni kuwaza matumbo tu. Halafu siku ya siku jitu linakufia nje huko; na kuacha mamilioni ya dola limeficha. Ubinafsi wa kihayawani. Primitive! Shithole! Pathetic!
Kuongozwa na CCM ni laana toshaUnaamini katika karne hii matumizi ya umeme au gesi au dizeli yanahitaji maono? Bado kidogo mtaanza kulilia viongozi wenye upako!
Sijui mtawapata kivipi.
Tumejichanganya sanaalieuanzisha huu mradi ndie angeweza kuuendeleza!, huyu alierithi hapana kwakweli!.
Hii nchi ni kama channel ya vituko!.
CCM inataka kutengeneza hela za uchaguzi ujao kwa kutununulia mitumba ya dizeli baada ya kupigwa kwenye mitumba ya umeme.Tunaposema Tanzania inahitaji viongozi wenye maono,malengo na uzalendo wa kweli tunamaanisha. Ni juzi tu train ya umeme imeanza kazi huku Stigler gorge ikiwa imeanza kuchangia kiasi cha megawatt kwenye gridi ya taifa ila cha kushangaza na kitia huzuni ni kwamba badala ya kuwa na mkakati mahususi wa kuhakikisha umeme haukatiki kwa namna yoyote Ile hata kwa ku dedicate megawatt kadhaa just for train peke yake, viongozi wanakuja na mkakati wa kinunua engine za Diesel eti kwajili ya kuendesha SGR pale umeme unapokatika.
Hakuna mpango wowote unaowekwa mezani kuhakikisha umeme haukatiki, mabilion ya pesa yamewekezwa kwenye umeme pamoja na train ya kisasa ila naona viongozi wameamua ku sabotage na kurudisha Tanzania kwenye giza.
Viongozi wetu unapowaona wanapita na magari ya kifahari na suti nzuri za kuvutia unawezawaona kama ni watu wa maana sana ila kiukweli ni tofauti na vile tunavyowaona, wengi ni less creative, wapenda rushwa na madaraka, uwezo mdogo katika kifikiri na kutenda, na wengi hufikiria zaidi matumbo yao kuliko maendeleo halisi ya nchi ya Tanzania.
Mama Samia angalia sana watu unawapa nafasi za kubeba maono na ndoto za watanzania, wengi wa hawa viongozi wanatulazimisha kuwa umasikini, na ujinga kuwa sehemu ya maisha yetu.
Train ya SGR imetupa sifa kubwa kama watanzania duniani kote ila hili la kununua engine za diesel badala ya kuimarisha upatikanaji wa umeme unaenda kutunyong'onyeza, kutubagaza, kituaibisha na kutufanya tuonekane kituko kwenye Dunia hii ya sayansi na teknologia.
Naomba Rais Samia uchunguze kwa makini huyu aliyeleta wazo la kununua engine za Diesel Ili kujua nani ana ratibu mambo haya ya kihuni na aseme ni nchi gani duniani iliyonunua train za umeme alafu wakaagiza tena engine za diesel kwajili ya kuendesha train ya umeme.
Ila pia msichukie sana wananchi wanavyomsifu JPM kwa namna alivokuwa anapambana kwa nia ya dhati ya kuiletea Tanzania maendeleo ya kweli na heshima duniani. JPM asinge tolerate mambo kama haya.
View attachment 3175658
Uzushi Gani tenah mkuu,Wakati inanunuliwa tulisema Kuna Mradi wa umeme wa Stigler Gorge ambao utalazalisha umeme mpaka tuite maji mma,hivo umeme hautokatika sasa wanaposema wananunua injini za diesel usidhani kuwa halitaibuka swala la Diesel imekata ,na Diesel ikipanda TU mtaambiwa bei ipande ,kuna mambo mengi yakuzungumza mbeba maono angekuepo haya usingeyaonaWabongo kwa kupenda uzushi bwana.....
Wananunua vichwa vya backup endapo umeme utakata..
View attachment 3175665
Backup alivunja mkataba kabla ya kuja.Tuliambiwa umeme ukikatika hutajua ina-backup ya saa 2 imekuwaje tena shekh?
Siamini kwamba dizeli inakuja kureplace umemeTunaposema Tanzania inahitaji viongozi wenye maono,malengo na uzalendo wa kweli tunamaanisha. Ni juzi tu train ya umeme imeanza kazi huku Stigler gorge ikiwa imeanza kuchangia kiasi cha megawatt kwenye gridi ya taifa ila cha kushangaza na kitia huzuni ni kwamba badala ya kuwa na mkakati mahususi wa kuhakikisha umeme haukatiki kwa namna yoyote Ile hata kwa ku dedicate megawatt kadhaa just for train peke yake, viongozi wanakuja na mkakati wa kinunua engine za Diesel eti kwajili ya kuendesha SGR pale umeme unapokatika.
Hakuna mpango wowote unaowekwa mezani kuhakikisha umeme haukatiki, mabilion ya pesa yamewekezwa kwenye umeme pamoja na train ya kisasa ila naona viongozi wameamua ku sabotage na kurudisha Tanzania kwenye giza.
Viongozi wetu unapowaona wanapita na magari ya kifahari na suti nzuri za kuvutia unawezawaona kama ni watu wa maana sana ila kiukweli ni tofauti na vile tunavyowaona, wengi ni less creative, wapenda rushwa na madaraka, uwezo mdogo katika kifikiri na kutenda, na wengi hufikiria zaidi matumbo yao kuliko maendeleo halisi ya nchi ya Tanzania.
Mama Samia angalia sana watu unawapa nafasi za kubeba maono na ndoto za watanzania, wengi wa hawa viongozi wanatulazimisha kuwa umasikini, na ujinga kuwa sehemu ya maisha yetu.
Train ya SGR imetupa sifa kubwa kama watanzania duniani kote ila hili la kununua engine za diesel badala ya kuimarisha upatikanaji wa umeme unaenda kutunyong'onyeza, kutubagaza, kituaibisha na kutufanya tuonekane kituko kwenye Dunia hii ya sayansi na teknologia.
Naomba Rais Samia uchunguze kwa makini huyu aliyeleta wazo la kununua engine za Diesel Ili kujua nani ana ratibu mambo haya ya kihuni na aseme ni nchi gani duniani iliyonunua train za umeme alafu wakaagiza tena engine za diesel kwajili ya kuendesha train ya umeme.
Ila pia msichukie sana wananchi wanavyomsifu JPM kwa namna alivokuwa anapambana kwa nia ya dhati ya kuiletea Tanzania maendeleo ya kweli na heshima duniani. JPM asinge tolerate mambo kama haya.
View attachment 3175658
Machawa yangemwambia kuwa Umeme unahujumiwa na wenye Mabasi nayeye angesema fungia Mabasi yote yaendayo hizo ruti.Mbeba maono hayupo 😀