Eti Train ya Umeme kununuliwa engine za Diesel ⛽

Ngozi nyeusi hii ni tatizo. Kwa nini hatuwezi kufanya vitu kwa weledi vikaenda kama inavyotakiwa? Hakuna maono. Hakuna mambo ya legacy. Nitawaachia nini watu wangu. Ni kuwaza matumbo tu. Halafu siku ya siku jitu linafia nje huko likitibiwa; na kuacha mamilioni ya dola limeficha. Ubinafsi wa kihayawani. Primitive! Shithole! Pathetic!
 
Mbona makampuni binafsi hatusikii ufisadi wala hujuma? hapa ni viongozi hawa CCM ni majangili tupu
 
Kama kweli wanawaza hivyo ndipo watu darasa la saba wanapata nafasi ya kusema wasomi wetu wa Tz ni wajinga.
Sasa Mimi nakubaliana mpina kuwa raisi awatumbue watumishi wote wa shirika la reli kuanzia waziri mpaka yule anaefagia ofisi
 
CCM inataka kutengeneza hela za uchaguzi ujao kwa kutununulia mitumba ya dizeli baada ya kupigwa kwenye mitumba ya umeme.
 
Hayo tuilitegemea. Unaagiza train ya umeme wakati ukweli uliopo hatuna umeme wa uhakika.
Juzi hapa nimesoma kwamba wanataka ku import umeme kutoka Ethiopia. Ninajiuliza pesa zetu zote za kujenga bwawa la mwalimu Nyerere zimekwenda na maji. Tanzania yetu hii ina mambo ya usikitisha kwa kweli. . Haya kazi iemndelee ila ninawahurumia wajukuu zetu watakavyoikuta nchi huko baadaye tukishaondoka.
 
Wabongo kwa kupenda uzushi bwana.....

Wananunua vichwa vya backup endapo umeme utakata..

View attachment 3175665
Uzushi Gani tenah mkuu,Wakati inanunuliwa tulisema Kuna Mradi wa umeme wa Stigler Gorge ambao utalazalisha umeme mpaka tuite maji mma,hivo umeme hautokatika sasa wanaposema wananunua injini za diesel usidhani kuwa halitaibuka swala la Diesel imekata ,na Diesel ikipanda TU mtaambiwa bei ipande ,kuna mambo mengi yakuzungumza mbeba maono angekuepo haya usingeyaona
 
Siamini kwamba dizeli inakuja kureplace umeme

Tusote too judgemental
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…