Eti Train ya Umeme kununuliwa engine za Diesel ⛽

Tunapowaambia kuwa laana ya nchi mizizi yake ni CCM muwe mnaelewa!
 
Mimi ningeelewa kama wanamanisha ni standby generators za dezel.

Kwa mtazamo huu deni alilipiki hili.

Kama mtoa mada vilaza ndio wameshika nchi, na wenye akili wameamukua vilaza wasipotezwe. Maana kilaza kupoteza mtu haoni shida.
 
Ndio washauri hao hao walishauri UDART ijengwe katikati ya mto msimbazi leo wanaivunja tena!
 
....Viongozi wetu unapowaona wanapita na magari ya kifahari na suti nzuri za kuvutia unawezawaona kama ni watu wa maana sana ila kiukweli ni tofauti na vile tunavyowaona...
Hiki kitu zamani nilidhani hivyo, lakini nilianza kufanya nao kazi, nilishangaa kuona ni weupe mno vichwani
 
Wanatafufa kupiga pesa za uchaguzi
 
Unapokuwa karibu nao unaweza kuelewa zaidi.
 
😆😆😆😆
 
Yani hakuna kitu serikali imewahi kukifanya efficiently hata kwa asilimia 70. sijui tuna shida gani. sasa hayo mabilioni yote waliyawekeza ili baadaye wahamie kwenye disesel?
Tatizo hawana nia thabiti, kila wanapokuja na wazo , tayari wanakuwa wameshaweka na maslahi binafsi ndani yake, ndo maana mambo ya maana kabisa na yanayooneka hata kwa mtu wa kawaida, hayafanyiki kabisa, ila yale yanayotilia mashaka ndiuo unaona yanapigiwa debe mpaka unajiuliza hawa watu huwa wanakula nini? Mbona mtizamo wao ni tofauti na watu wa kawaida.
 
Mbubujikwa machozi Lucas Mwashambwa aione kwenye faili! Mama ameeafilia fuel importers na wanyonge wamesikika! Skunk cabbage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…