Eti Train ya Umeme kununuliwa engine za Diesel ⛽

alieuanzisha huu mradi ndie angeweza kuuendeleza!, huyu alierithi hapana kwakweli!.

Hii nchi ni kama channel ya vituko!.
Kwani aliyeuanzisha huu mradi naye angekaa pale milele, kikubwa ni uwajibikaji kwa watendaji wote waliopewa nafasi za kuendesha hayo mashirika.
 
 

Attachments

  • IMG-20241213-WA0037.jpg
    86.1 KB · Views: 1
Mkuu ukiendelea kuwachukulia serious CCM utastukia mwaka 3000 na bado CCM ipo madarakani. Hiki chama wanajua hii nchi kuna watu hua wanadakia vitu na kuanza kujadiri kimihemko. So wanaleta kitu mkoendelea kujadili mnaachana na mambo ya muhimu. Ngoja siku umuone Mh Rais kapanda punda ndio utajua CCM wanajua kucheza na akili za manyumbu.
 
Umeme unafanya tunashindwa kupiga upigaji wetu kwenye wese ndio kuzur tunazidisha sifur moja
 
Kama kimradi cha UDART kiliwashinda vibaya mno mpaka wakatafuta wawekezaji matapeli wakishirikiana na Kafulila kwa kivuli cha PPP huo mradi nao sikuona ukifika mbali.

Vipi utunzaji tu wa viti, vyoo, meza na viti wameweza kutunza japo mabehewa nayo ni mtumba.
 
Kwa nini asiagize backup systems zinazoweza kuendesha japo kwa massage manne. Badala ya hayo madiesel. Sio ya kipaumbele sana twaweza endelea kuvumilia wakati tunasoma mchezo
 
dah Huyu masanja kadogosa si alitwambia hii train hata umeme ukake train haiwezi simama. yaan nimepatwa na hasira gafla hivi sisi tulimkosea nini Mungu?
 
Najua mtanikumbuka Tena kwa mema yangu hayo ndo maneno ya mwenda zake.PUMZIKA UNAPOSTAHILI
 
Mimi nimejitoa kwenye group la watu wenye fikra finyu kama hawa. 😂 😂 😂 😂
 


Haya mashirika kila siku wanakaa na kujaribu kutafuta deal za kifisadi. Walisema umeme tunao mpaka wa kuuza sasa hii la kununua mafuta ili waweze kuiba kwenye mafuta. Ubinafsi huo. Sasa wanasema tatizo ni umeme kukatika kwanini umeme ukatike katike kwanini wasitatue hilo tatizo kwanza
 
Bure kabisa!!!
Kwani haikufanyika feasibility study kabla ya kuamua kuwa na mradi wa SGR kwa kutumia chanzo cha umeme??, bure kabisa!!!, wanajifanya ni wasomi kumbe ni bure kabisa!!!

Badala ya kula sahani moja na Tanesco ili kuwe na stable power supply nyie unaleta mawazo ya kui-inflate gharama ya mradi. Kwanini hamkuamua kuwa na source ya kutumia diesel?? Mnawafanya Watanzania ni wajinga sio!!, bure kabisa, huu ni upigaji mwingine.

Namshauli mama SSH aachane na hili wazo kwa manufaa ya Watanzania badala awabane Tanesco kuwa na stable power supply.
 
Hivi ni kitu gani serikali inaweza kufanya kwa ufanisi angalau ata 80%.
Yani ubabaishaji mwingi sana.
 
Mama anaupiga mwingi
 
Kama ni kweli, basi mama she's a pain in our ass. Hili likitokea, nitamchukia full force kwa nguvu zangu n all my mighty.

Kweli nchi in almost 60+yrs na haiwezi kuprovide stable electricity, tunazalisha zaidi ya mahitaji yetu ila someplaces bado zinaexperience power disruptions hadi kufikia watu wanaamini tuna power rationing.

Mwemdokasi miundombinu imekamilika ila hamna enough buses, some places hakuna harakati yeyote coz hakuna hata bus moja. Haya yaliyopo yenyewe ni insufficient.

Sgr imekamilika, tukiwa kama powerhouse of electricity, ila power outages zimekuwa zikisababisha inconveniences mara 1 hadi 3 kwa mwezi. Sasa ndio ninaskia wanataka kuleta diesel engines. Ckuf

Our mighty air Tanzania kumbe isa disgrace under blue sky. Kama hazijameet all needed safety controls, mlikuwa mnangojea a calamity ndio aje kuibuka majaliwa the 2?? Kama waliokuwepo ofisini hawakulizingatia hili, hauoni our government is proudly tolerating incompetency in our public offices??

Huu ni puuzi uliotukuka. If your hand makes you sin, cut it. It is evident kuwa kuna mtu majukumu kwake yamekuwa mabukwa kuliko uwezo wake wa kuyamudu. Kama wakina yanga na simba wakiona kiongozi no1 wa timu mambo yanamshinda, anatimuliwa tu kwan sh ngapi. Ila mama ameng'ang'ania madaraka maana hakuna wa kumwondoa. Jua mama unazingua. Wengine ni madie hards wa CCM ila mama unatufanya tukichukie hata Chama chetu pendwa. Aisee samahani ila shame on you. You're being a disgrace to our developing nation. Mtu mwenyewe una madhaifu kibao ambayo hatutaki kuyaongelea maana tunataka kuendelea kupatikana. Sio siri nchi imekushinda, mtu kucha kutembea tu nje ilhali ndani kuna mambo lukuki yanayohitaji uyasolve ila wewe unang'ethia ng'ethia tu. Mediocrity government shamelessly at its peak but bouncing n bragging as if everything is ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…