Eti tujiaandae kwa mapenzi a day b4!!!??

Eti tujiaandae kwa mapenzi a day b4!!!??

Halafu kuna kajamaa flani kanauza boutique kanamchekesha chekesha kila mara. Inantia utata kidogo ila staki kuonyesha kwasbabu wife akisense insecurity noma!!

Tafakari; zen do ze needful' Mwite Bigirita akusaidie ukiona ngumu sana!
 
Nyamugluu,
Treat her like a queen thats all. ifanye siku moja kama jmosi hivi kuwa ni yake ya kupumzika asifanye the daily household chores. amka asubuhi tengeneza breakfast for her umpelekee chumbani kabisa. cuddle her make her feel closer to you. oga naye mpe massage pia. sijui comb her hair mpaka hata kucha zake rangi. yani do things you never do for her. talk funny stories watch comedies etc etc etc

HAlafu hamaanishi 24 hrs anamaanisha angalau masaa kabla atleast 12 hrs
 
jamani.........wakati natongoza nipate shida hizi, na sasa nimeweka ndani bado niendelee kupata mashida yale yale ya kupika na kuchekesha !!! haaaa wapiii!
 
hapo ku cuddle bila ya kutaka sex ni muhimu kwa wanawake hasa wakiwa wajawazito.
Pia wajawazito huwa wanachoka sana, ukiwa na nafasi kaa nae kwenye kochi umkande kande miguu huku unazungumza tu. na hizo msg au simu wakati wa mchana ukiwa mbali nae ni muhimu. it doesnt have to be kuhusu mapenzi, unaweza tu kumuandikia kumuuliza if she is alright, amekula, amepumzika uzuri and the like....................wanawake wanapenda kujiona wanakuwa cared.
 
jamani.........wakati natongoza nipate shida hizi, na sasa nimeweka ndani bado niendelee kupata mashida yale yale ya kupika na kuchekesha !!! haaaa wapiii!

Bigirita, sasa si unaendeleza libeneke jamani au ndo ukishampata na kumuoa basi tena malavidavi ya mwanzoni hakuna????acha zako hizo hebu mpe mwenzio yale uliyomzoesha ulivyokuwa unamtongoza akhaaa!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom