Eti tulipigania Uhuru, iweje Muomboleze kifo cha Mtawala wa mwisho?

Eti tulipigania Uhuru, iweje Muomboleze kifo cha Mtawala wa mwisho?

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Hii imekaaje, utasikia nchi za Afrika eti zilipigania na kupata Uhuru, sasa kama ni kweli ina maana aliyekutawala alikuwa adui, sasa iweje kifo chake kiwe maombolezo kwenu?

Afrika ni takataka na tunadanganywa sana, hakuna nchi yoyote ile iliyopigania Uhuru, wote walipewa huo tunaouita uhuru kwa hiari, I mean ni kama vile Amir Bashir wa Sudani afe halafu South Sudani watangaze siku za maombolezo, Unafikiri linawezekana hilo?
 
Misaada ndio sababu ya kuomboleza
 
Back
Top Bottom