Edma falsafa
Member
- Sep 25, 2019
- 41
- 22
yaani jamaa anaona ni vema kuondoa kero kwa kutumia kero.Umejenga hoja ifuatayo:
- Ndani ya vyama hakuna uhuru
- kwenye Tume ya Uchaguzi hakuna uhuru.
- Kwa hiyo, kukosekana kwa uhuru katika Tume ni jambo halali.
HAPANA! Makosa mawili hayazalishi haki.
Huwezi kusema kuwa kwa vile ndani ya vyama hakuna uhuru basi kukosekana kwa uhuru katika tume ya Taifa ni jambo halali.
That is primitive naive and nonsensical reasoning....
Madai yao ni sahihi. Rejea point 10 za Maalim Seif. Halafu sidanganye watu kuwa ccm imejibu ajenda za wapinzani. Kupunguza tu umaskini imewashinda, kutenengeneza ajira mpya imeshindwa. Imejibu baadhi lakini sio zote. Tuwe wakweliDai la tume huru ya uchaguzi: hiki kiini macho kimekuwa agenda kwa vyama hivi hasa baada ya kukosa agenda mbadala itakayoweza pambanishwa na Ccm iliyojizatiti kwa kujibu vijiagenda vyote vilivyokuwa vikiwapa kiki ktk awamu zilizopita!
Sisi wananchi tunajua hii tume ni huru kwa mujibu wa katiba ya JMT ibara ya 74(7) na hufanya kazi kwa mujibu wa sheria na kanuni.Nadhani anaetaka tume huru zaidi ni wananchi mkuu sio kina Mbowe.
Unasubiri sitatuliwe kwa asilimia 💯! Unautimamu was akili ww kweli!? Yaani asiwepo mtu asieajiriwa, asiwepo maskini ndio useme Magu ni jembe! Hata Mungu mwenyewe ameacha maskini na matajiri kuwepo ktk dunia na hi ndio inafanya umaana was maisha!Madai yao ni sahihi. Rejea point 10 za Maalim Seif. Halafu sidanganye watu kuwa ccm imejibu ajenda za wapinzani. Kupunguza tu umaskini imewashinda, kutenengeneza ajira mpya imeshindwa. Imejibu baadhi lakini sio zote. Tuwe wakweli
Kaifanyia haki? Miaka minne ya fedha kuanzia 2016/2017 mpaka 2019/2020 (mpaka mwezi April 2020) hajatekeleza bajeti ya serikali hata kwa asilimia 70. Kaishia 66, 67, na 66.8. Acheni kelele. Someni documents za bajeti kwa kuanzia. Usipige tu makelele hapa JFUnasubiri sitatuliwe kwa asilimia 💯! Unautimamu was akili ww kweli!? Yaani asiwepo mtu asieajiriwa, asiwepo maskini ndio useme Magu ni jembe! Hata Mungu mwenyewe ameacha maskini na matajiri kuwepo ktk dunia na hi ndio inafanya umaana was maisha! Tunaposema Magu ni baba lap tunafananisha na watangulizi wake na pia agenda zilizokuwa zinawapa shavu wapinzani uhuni! Magu ameifanyia haki nafasi ya urais! Mungu azidi kumbariki, kumuongoza, na kumlinda yy binafsi na serikali ya awamu ya tano na Tz kwa ujumla!
Awamu zilizopita mbona haikuwa fomu moja, Jamaa hawezi bila kubebwaHi ni Norm na custom yetu bana! Hata hivyo hawana ubavu was kuvaa viatu hivyo!
Vipi ujapata taarifa fomu imeprintiwa moja,mkiambiwa chama ni Mali binafsi ya familia mueleweKtk kutafakari juu ya agenda ya vyama pinzani hapa Tz tunapoelekea ujaguzi, nimewaza na kawazua bila kupata majibu juu ya yale yanayojiri kwenye vyama vyenyewe na kile wanachojaribu kushinikiza kifanyike!
Ktk yote vifanyavyo hivi vyama vinajaribu kuhadaa watz kama mtakavyoona kwenye clips hapo chini!
Dai la tume huru ya uchaguzi: hiki kiini macho kimekuwa agenda kwa vyama hivi hasa baada ya kukosa agenda mbadala itakayoweza pambanishwa na Ccm iliyojizatiti kwa kujibu vijiagenda vyote vilivyokuwa vikiwapa kiki ktk awamu zilizopita!..
Nimeyapenda majibu yako!Huko Kigoma wanasema kuwa ukweli hauwezi kuungua hata kama ukipitishwa kwenye tanuru la moto. Tafuta kina zito wakupe exact quotation, mie najua kifipa. Karibu sumbawanga!
Acheni unafki. Wabunge zaidi ya mia moja waliingia bungeni kupitia tume ipi? Upinzani wa kipindi hiki umekosa Sera.Iko huru kutangaza mshindi, haiko huru kuonyesha mshindi amepatikanaje.
Rejea majibu ya Damian Lubuva alipobanwa kuhusu matokeo akajibu "mimi natangaza matokeo ninayoletewa"
Kilichoprint fomu moja na kuwanyima haki wengine ya kugombeaChama gani hicho? Cha kwenye flash au ile kampuni ya Mbowe!?
Jembe kwa nguvu ya wanufaika.Kizuri kinajiuza! Magu kwa ccm ameshauzika na kuadimika! Hawawezi kufanya makosa kulipoteza jembe lao lililosababisha upinzani wapotezane! Jezea Magu we?
Endeleeni kupiga pesa na unafiki wenuNadhani anaetaka tume huru zaidi ni wananchi mkuu sio kina Mbowe.
Sisi wananchi tunajua hii tume ni huru kwa mujibu wa katiba ya JMT ibara ya 74(7) na hufanya kazi kwa mujibu wa sheria na kanuni.