Eti u polisi Ulaya na Marekani ni kazi rahisi ona mwenyewe

Kwa hali hii nachelea kuamini kuwa wewe ni mwanamke...haki wewe sio mwanamke
 
Kwa hali hii nachelea kuamini kuwa wewe ni mwanamke...haki wewe sio mwanamke
 
kumpiga mtu ni kazi rahisi sana ila ugumu upo unaporudishiwa kipigo
 
Kwa hali hii nachelea kuamini kuwa wewe ni mwanamke...haki wewe sio mwanamke
Kumbe na wewe una wasiwasi nae kama mimi? Kuna siku alileta thred fulani ilikuwa sijui ya mambo ya kale hivi. Pale ndipo nilipobadirisha mtazamo wangu kuhusu huyu mtu. Maana sio kwa speach ile. Hawezi kuwa nayo mwanamke hata awe msomi kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…