Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe na wewe una wasiwasi nae kama mimi? Kuna siku alileta thred fulani ilikuwa sijui ya mambo ya kale hivi. Pale ndipo nilipobadirisha mtazamo wangu kuhusu huyu mtu. Maana sio kwa speach ile. Hawezi kuwa nayo mwanamke hata awe msomi kiasi gani?Kwa hali hii nachelea kuamini kuwa wewe ni mwanamke...haki wewe sio mwanamke