eti unaweza kusoma CBG A-level ukiwa na C ya geo, D ya chem na B ya bio?

eti unaweza kusoma CBG A-level ukiwa na C ya geo, D ya chem na B ya bio?

arkamraiden5

Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
8
Reaction score
0
je kwa mwaka huu umaweza kuchaguliwa kusoma CBG ukiwa na D ya chem, B ya bio na C ya geo naombeni majibu kwa anaejua
 
Hata ingekuwa geo-d bio-c na chem-c ungepiga tu.... cha msingi zile tatu zitimie kijana! Kwa hiyo hapo mambo yako yapo poa!
 
Hivi credit 3 haimaanishi C and above 3? Kwani wanaangalia point kama za kuingia Chuo?
 
Kwa mwaka huu C ni point 4
3 4 5=12 kwa matokeo yako,lakini subiri wanaweza kukupangia dogo
 
je kwa mwaka huu umaweza kuchaguliwa kusoma CBG ukiwa na D ya chem, B ya bio na C ya geo naombeni majibu kwa anaejua

.
Sijui kwa mwaka huu dogo
mana mwaka juzi kwa mfano PCB wapo walioenda na D ya chemistry
ila waliokuwa na 3 kushuka chini sio 4 nakuendelea
.
Ila kwa mwaka huu ngoja tu usubiri ila, nna uhakika utaenda tu!
.
 
wanasema point tisa tu ndio kigezo ili mradi tu usiwe na F...

mkuu hapo sasa hivi E inahesabikaje,imekaa vipi maana nina mdogo wangu wa kike ana kiwsahili B,History E,English lang C na Biology C je hapo anaweza kwenda advance hata kwa private,au anaruhusiwa kufanya mtihani wa six kwa hizo scores katika Comb ya HKL? maana hii E kidogo inaleta utata kama inahesabiwa kama F au lah
 
mkuu.. naomba usome hapa kidogo halafu tujadiliane kwa pamoja!

Jedwali Na 1: Viwango vya ufaulu vilivyotumika katika Matokeo ya CSEE 2013.
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 96"]
Kundi
[/TD]
[TD="width: 102"]
Gredi
[/TD]
[TD="width: 96"]
Alama
[/TD]
[TD="width: 132"]
Idadi ya Pointi
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 96"] 1
[/TD]
[TD="width: 102"]
A
[/TD]
[TD="width: 96"]
75 - 100
[/TD]
[TD="width: 132"]
1
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 96"] 2
[/TD]
[TD="width: 102"]
B+
[/TD]
[TD="width: 96"]
60 - 74
[/TD]
[TD="width: 132"]
2
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 96"] 3
[/TD]
[TD="width: 102"]
B
[/TD]
[TD="width: 96"]
50 - 59
[/TD]
[TD="width: 132"]
3
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 96"] 4
[/TD]
[TD="width: 102"]
C
[/TD]
[TD="width: 96"]
40 - 49
[/TD]
[TD="width: 132"]
4
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 96"] 5
[/TD]
[TD="width: 102"]
D
[/TD]
[TD="width: 96"]
30 - 39
[/TD]
[TD="width: 132"]
5
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 96"] 6
[/TD]
[TD="width: 102"]
E
[/TD]
[TD="width: 96"]
20 - 29
[/TD]
[TD="width: 132"]
6
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 96"] 7
[/TD]
[TD="width: 102"]
F
[/TD]
[TD="width: 96"]
0 - 19
[/TD]
[TD="width: 132"]
7
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
.
Sijui kwa mwaka huu dogo
mana mwaka juzi kwa mfano PCB wapo walioenda na D ya chemistry
ila waliokuwa na 3 kushuka chini sio 4 nakuendelea
.
Ila kwa mwaka huu ngoja tu usubiri ila, nna uhakika utaenda tu!
.

mana hata mm nina 3
 
Back
Top Bottom