arkamraiden5
Member
- Mar 2, 2014
- 8
- 0
je kwa mwaka huu umaweza kuchaguliwa kusoma CBG ukiwa na D ya chem, B ya bio na C ya geo naombeni majibu kwa anaejua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
je kwa mwaka huu umaweza kuchaguliwa kusoma CBG ukiwa na D ya chem, B ya bio na C ya geo naombeni majibu kwa anaejua
je kwa mwaka huu umaweza kuchaguliwa kusoma CBG ukiwa na D ya chem, B ya bio na C ya geo naombeni majibu kwa anaejua
wanasema point tisa tu ndio kigezo ili mradi tu usiwe na F...
mkuu hapo sasa hivi E inahesabikaje,imekaa vipi maana nina mdogo wangu wa kike ana kiwsahili B,History E,English lang C na Biology C je hapo anaweza kwenda advance hata kwa private,au anaruhusiwa kufanya mtihani wa six kwa hizo scores katika Comb ya HKL? maana hii E kidogo inaleta utata kama inahesabiwa kama F au lah
Kwa mwaka huu C ni point 4
3 4 5=12 kwa matokeo yako,lakini subiri wanaweza kukupangia dogo
.
Sijui kwa mwaka huu dogo
mana mwaka juzi kwa mfano PCB wapo walioenda na D ya chemistry
ila waliokuwa na 3 kushuka chini sio 4 nakuendelea
.
Ila kwa mwaka huu ngoja tu usubiri ila, nna uhakika utaenda tu!
.