Swali hili nimepewa leo na dada ambae tunaishi nae hapa uswazi,ndo nikagundua kumbe wanawake wana mbwembwe nyiiiingi lakini mawazo yao ni hapoo! . . . . . . . . . . . . . . . .. . . . . . . . . . . . . . . . . . .Huyu dada nili muuliza;"Hivi nyie hasa mwanaume thamani yake kwenu ni nini?",ndipo akajibu;"Mengine hua ni mbwembwe tu,sijui hela,magari n.k,mambo yote dushelele a.k.a abudala kichwa wazi,kama unabisha mtafute mwanamke yoyote umwambie aolewe na tajiri ambae abudala wake hana hasira uone kama hataachika"! . . . . . . , . . .. . . .Mimi nimeamua kuwauliza nyinyi wanawake wa JF,eti utaachika?