Eti utaachika????

Eti utaachika????

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,891
Swali hili nimepewa leo na dada ambae tunaishi nae hapa uswazi,ndo nikagundua kumbe wanawake wana mbwembwe nyiiiingi lakini mawazo yao ni hapoo! . . . . . . . . . . . . . . . .. . . . . . . . . . . . . . . . . . .Huyu dada nili muuliza;"Hivi nyie hasa mwanaume thamani yake kwenu ni nini?",ndipo akajibu;"Mengine hua ni mbwembwe tu,sijui hela,magari n.k,mambo yote dushelele a.k.a abudala kichwa wazi,kama unabisha mtafute mwanamke yoyote umwambie aolewe na tajiri ambae abudala wake hana hasira uone kama hataachika"! . . . . . . , . . .. . . .Mimi nimeamua kuwauliza nyinyi wanawake wa JF,eti utaachika?
 
Kwani boarding skul tulikuwa tunafanyaje?
 
mmmh...nadhan ni zaidi ya abudala kichwa wazi..kuna mengine pia jaman.
 
priorities binafsi zina-matter, asitusemee kabisa.

Naolewa, siachiki, napiga mechi za mchangani tu, huku nalilia kwenye bangaloo na lambogin.

Chezeiya nimekulia tandale mlo mmoja kwa siku afu uniletee mambo ya abdala kichwa wazi? Ntamtumia hata Salumu makofia
 
Kaunga wewe uliolewa boarding school? Mlifanyaje.....

Shuleni kulikuwa na dushelele?
Mume say kapata ajali, kitu imegoma kufanya kazi si niyajiridhisha kwa njia nyingine.

Mapenzi ni zaidi ya ngono ndio maana yangu.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: RR
Hapa ngoja nipite tu! Eiyer kakangu, kama maisha yamebamba sana katafute chumba kimoja msasani bonde la mpunga nitakulipia kodi. Uswazi ya msasani tofauti na uswazi ya tandale aisee! Tutakupoteza!
 
mhm...hii kali. ngoja tusubiri majibu

Hivi mfano ukakutana na balaa hilo la jogoo kushindwa kuwika(naomba Mungu atuepushe) utamwacha mkeo?
 
Kwani boarding skul tulikuwa tunafanyaje?

Kuna tofauti kubwa kati ya kusikia njaa halafu ukajua utakula hata kama ni kesho na kusikia njaa halafu ukajua hautakula,usiombe!
 
Bora Kongosho amekua mkweli kidogo,lakini hivi kama mechi za mchangani no,utafanyaje shangazi Kongosho?
 
Kanunga,nataka kujua hiyo njia nyingine utakayotumia kujiridhisha!
 
Swali hili nimepewa leo na dada ambae tunaishi nae hapa uswazi,ndo nikagundua kumbe wanawake wana mbwembwe nyiiiingi lakini mawazo yao ni hapoo! . . . . . . . . . . . . . . . .. . . . . . . . . . . . . . . . . . .Huyu dada nili muuliza;"Hivi nyie hasa mwanaume thamani yake kwenu ni nini?",ndipo akajibu;"Mengine hua ni mbwembwe tu,sijui hela,magari n.k,mambo yote dushelele a.k.a abudala kichwa wazi,kama unabisha mtafute mwanamke yoyote umwambie aolewe na tajiri ambae abudala wake hana hasira uone kama hataachika"! . . . . . . , . . .. . . .Mimi nimeamua kuwauliza nyinyi wanawake wa JF,eti utaachika?

tatizo limekaa kidada zaidi am out..:spy:
 
Hapa ngoja nipite tu! Eiyer kakangu, kama maisha yamebamba sana katafute chumba kimoja msasani bonde la mpunga nitakulipia kodi. Uswazi ya msasani tofauti na uswazi ya tandale aisee! Tutakupoteza!

Dada we mi nakujua,nilikuambia tu unilipie ile shule pale Kinondoni ukakataa,chumba msasani ndo utalipa?
 
Back
Top Bottom