Eti utafanyeje?

Eti utafanyeje?

bablon6

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
630
Reaction score
566
Mara ulkuwa unamlenga rafiki ako na jiwe,kwa bahati likamlenga bibi mzee akainama kisha akaokota lile jiwe akaweka kwenye mfuko wake akaondoka zake, utafanyaje!???
 
Atakuwa mwana sayansi labda, anaenda kulifanyia uchunguzi

Wewe subiri majibu baada ya wiki mbili hivi
[emoji74] [emoji74] [emoji74] [emoji74] [emoji74] [emoji74]
 
Hahahah..!!![emoji3][emoji3][emoji3]

Nyie amuijui presha eti
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom