usimamizi mbaya
Member
- Nov 3, 2024
- 55
- 92
Mzazi anasema mimi naenda mahala fulani msitoke hapa niwakute mnaangalia TV.
Mzazi huyu anaongea ilimradi tu bila kujuwa madhara ya watoto kukaa muda mrefu.
Nyumba za sasa choo nazo ndani unakuta watoto na wazazi wameamka akitoka chooni yupo kwenye tv na watoto kuchek season huku ni kuharibu afya unatazama TV masaa tele,unakula ukiwa umekaa kutwa unakuwa umekaa masaa11.
Saa moja ndiyo unaligawa kwenda chooni na chumbani.
Aibu jamani mbadilike.