UKiondoka kimya kimya ni bora zaidi,hawatajuwa uko mbali kiasi gani,ila ukiwaambia tu umeharibu,maana wataanza kufanya vitu ambavyo hawajawai kuvifanya,chunguza jambo hili,unapomwambia mtoto usibembee kwenye mlango,ndiyo kila mara utamkuta anambea huwo mlango,bora usiwaambie lolote waache na uhuru.