Labda kama ni kilimo cha kumpatia chakula chake tu. Lakini kama ni kilimo cha kumpatia hela, asahau "kutoboa" bila mtaji!
Kilimo kinajitaji hela! Kilimo kinahitaji uwe umejipanga! Vinginevyo, utakuwa msindikizaji tu!
Ninawashangaa wanasiasa wanaowashauri vijana wasiokuwa na ajira kwamba eti wakalime! Watalima bila mtaji?
Nimelima! Ninalima! Ndiyo maana nimefahamu kuwa kilimo bila "hela" hakiendi!
Nchi na ma pesa yake tote, wameshindwa kulima ili tujitosheleze na sukari,
Wengi wanaolima, kwanza wali kuwa kwenye ajira,wameishakusanya ukwasi, assets, properties, hata wakiwekeza milioni 10,kwenye nyanya, zikazama,hawapati ugonjwa wa moyo! Mtu kama Kikwete, au pinda,wanalima mahindi, nanasi,wao hawapati shida ya kupata soko, ni simu tu, kwa bakheresa, mzigo unafstwa shambani,
Mfumo wa kilimo kwa ujumla, ni wa hovyo, mathalani kule kagera, unavuna kahawa, unalazimishwa uuze chama cha ushirika/ccm, pesa hupati siku hiyo, sehemu kubwa ya bei, ni Kodi, ushuru, tozo za, ccm, mkulima anapata kiduchu!
Kule mafinga kuna kiwanda cha paleto, serikali ilishindwa kukiendesha, wakabinafsisha, yupo mzungu pale,
Mkulima ukivuna paleto yako, hata kama unavuna kila siku, unapeleka kiwandani,inapimwa, pesa yako hapo hapo, vile vile, kiwanda kinatoa huduma ya bwana shamba, pembejeo kwa wa kulima, sio upuuzi wa serikali wa stakabadhi gala ni,
Ccm Ina jua aslimia 80 ya wa bongo, ni wa kulima, na haitaki wana nchi majority wa we l na nguvu za ki uchumi, minya mapato Yao katika kilimo, kwa figisu, tozo, ushuru, na mauchawi mengine, watoto wa wa kubwa, ukiona wanafanya kilimo, ni kile cha kibabe, ekari kama 100,matrekta kibao, sasa mwenzangu na Mimi, utoke udom,SAuT, udsm, arusha tech, boom huna, uingie kwenye kilimo, na hauna backup, si mwanzo wa kupatwa na kichaa!