Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
Yule kipara aliyetemwa na wana Bumbuli, kwenye mitandao ya jamii kuna chawa wake wanasema eti ameachwa kwa vile ndiye atakuwa mbadala wa Emmanuel Nchimbi kwenye u- Katibu Mkuu wa CCM.
Yule aliyetuweka kwenye mgawo wa umeme mwaka 2023 huku akijitengenezea mabilioni ya shilingi kupitia kandarasi za TANESCO hawezi kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Yule aliyekuwa anatamani kugombea u-Rais kwa tiketi ya CCM mnamo Oktoba 2025. Nasema hatakuja tokea......... niko pale niiteni jina lolote