Kama alijua anakuja kuwa KM wa CCM, aliwania ubunge ili akakatwe?Yule kipara aliyetemwa na wana Bumbuli, kwenye mitandao ya jamii kuna chawa wake wanasema eti ameachwa kwa vile ndiye atakuwa mbadala wa Emmanuel Nchimbi kwenye u- Katibu Mkuu wa CCM.
Yule aliyetuweka kwenye mgawo wa umeme mwaka 2023 huku akijitengenezea mabilioni ya shilingi kupitia kandarasi za TANESCO hawezi kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Yule aliyekuwa anatamani kugombea u-Rais kwa tiketi ya CCM mnamo Oktoba 2025. Nasema hatakuja tokea......... niko pale niiteni jina lolote
Leo wewe ndio wa kusema hivyo?!Maccm yote ni mataahira
Wewe ndiyo taahira namba mojaMaccm yote ni mataahira
Mmh hadi wewe?! Kweli mambo yameharibikaMaccm yote ni mataahira
Ipo siku na wewe utabadili mtzamo huku ukilia na kusaga meno.Wewe ndiyo taahira namba moja
Swali zuriKama alijua anakuja kuwa KM wa CCM, aliwania ubunge ili akakatwe?
Haki ya nani wokovu umekaribia, hata wewe umejitenga nao!!ππππMaccm yote ni mataahira
Mimi nilikuwa shabiki wa sera za Magu , siyo haya mataputapu toka zanzibarMmh hadi wewe?! Kweli mambo yameharibika
Mkuu Samia kafanya ccm iwe taktaka kabisaLeo wewe ndio wa kusema hivyo?!
Katibu mkuu sasa ni zamu ya Unguja πΌ