GE2025 Eti wa Bumbuli kaachwa kwa ahadi ya kuwa Katibu Mkuu CCM baada ya Nchimbi, ni uwongo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mkuu huo ni ukweli kama huamini hawa manyumbu na kiongozi wao nduli wangekua wanataka Kipara arudi angerudi kama wengine walivyorudi ndo maana unaona kipara hawazi wala hajapaniki alafu by the way hii team Ya Pwani waogope sana ni wabinafsi kupita maelezo
 
Hizo ni porojo zinaanzishwa na Wana Chadema halafu wanaziponga wenyewe ili waonekane wanaijua sana CCM kuliko Chadema yao!
 
Kama wamebadili katiba kwa njia ya mtandao kwa ccm lolote linawezekana.lisemwalo lipo.
 
Wewe nae kama mwanamke wa bar
 
CCM ilitakiwa ifutike kwenye uso wa dunia kabisa na iwepo marufuku ya milele vizazi vyake kutoshiri katika siasa za nchi hii mpaka kiama

Hiki chama ni takataka kabisa
Wewe uko chama gani? Tuone usafi wa chama chako
 
CCM ilitakiwa ifutike kwenye uso wa dunia kabisa na iwepo marufuku ya milele vizazi vyake kutoshiri katika siasa za nchi hii mpaka kiama

Hiki chama ni takataka kabisa
Wapinzani wangapi wamedai siasa isiwe na malipo makubwa sana!?ili fedha zielekezwe kwenye uzalishaji na utaalam wenye tija kiuchumi na kijamii!!?

Wote maslahi kwanza!Tatizo sio CCM Wala chadema Tatizo wanaofinyanga kesho ya Tanzania huko idarani ndio wanatufikisha hapa hivi leo!

Idara za usalama zifumuliwe!Ili ziwe pro active kwenye maswala mtambuka ya kitaifa !
 
Cheo kikubwa sana,!

Ataiua master minder was mengi ndani ya chama!

Kama nchimbi alivyotumia cheo hicho kupata ugombea mwenza!

The same!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…