ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Sio kwamba mikoani ndo Pana endelea kukua nasikia unakodisha Mpaka 70000 kumbe Kwa siku hesabu ya coaster hiyoKwa mikoani hapana. Ila kwa DAR iko sw kuna rasta man mmoja anazo kama iyo,na ile ya PUMP ya kunyonya maji yakijaa kwenye makazi,Na ile mguu w jini ya kushindilia baada ya kumwaga zege. Na zingine cjui hata kazi zake. Ni anakimbiza mnoo.
Inalipa mkuu!Njoo DodomaHabari za asubuhi huku tukiendelea na vita lazima maisha yaendelee Tuamke kuinua uchumi unaoanguka nahitaji kujua kama umewahi kukutana na hii biashara ya kukodisha mtambo wa kuchanganya zege Tena Kwa mikoani huku kweli nitakuwa nimefanya uwekezaji wenye matokeo nikinunua hio mashine?
Dar zinakodishwa laki 1 mpaka 120,000 operator analamba 30k.Sio kwamba mikoani ndo Pana endelea kukua nasikia unakodisha Mpaka 70000 kumbe Kwa siku hesabu ya coaster hiyo
Wachanganya zege kwa mikono lazima wakurogeHabari za asubuhi huku tukiendelea na vita lazima maisha yaendelee Tuamke kuinua uchumi unaoanguka nahitaji kujua kama umewahi kukutana na hii biashara ya kukodisha mtambo wa kuchanganya zege Tena Kwa mikoani huku kweli nitakuwa nimefanya uwekezaji wenye matokeo nikinunua hio mashine?