Eti wadau, ule msalaba kwenye chupa Dompo huwa una maana gani??

Eti wadau, ule msalaba kwenye chupa Dompo huwa una maana gani??

Yoel eliud

Member
Joined
Nov 11, 2017
Posts
28
Reaction score
12
Eti wadau, ivi ule msalaba kwenye chupa ya dompo huwa una maana gani??
 
Msalaba ulikuwa mmoja tu aliosuribiwa Bwana Yesu tu, mingine ni miti vyuma na alama za kujumlisha.
Zilikuwa ni aina ya hukumu enzi zile za utawala wa waroma. Na Yesu si wa kwanza kutundikwa bali wahalifu wote waliohukumiwa kifo kwa njia ya msalaba juu ya kilima Ili Jamii yote ione tukio hilo Ili iogope kufanya uhalifu.
 
Back
Top Bottom