Eti wadau, ule msalaba kwenye chupa Dompo huwa una maana gani??

Eti wadau, ule msalaba kwenye chupa Dompo huwa una maana gani??

Majibu yanayotolewa sasa ni noma, ngoja niendelee kusubiri majibu mengine.
 
Zilikuwa ni aina ya hukumu enzi zile za utawala wa waroma. Na Yesu si wa kwanza kutundikwa bali wahalifu wote waliohukumiwa kifo kwa njia ya msalaba juu ya kilima Ili Jamii yote ione tukio hilo Ili iogope kufanya uhalifu.
Walitundikwa kwenye mti na haukiitwa msalaba msalaba ulikuwa wa Yesu tu.
 
Nasikia ile ndio divai / mvinyo mapadri wanatumia madhabahuni…

Sio dompo, inaitwa altar wine, haijaandikwa alcohol percent… ila ukinywa nzima lazima upate wenge kidogo.
 
ile ni divai, wanaitumiaga sana walokole ila inaladha ya pombe kali kabisa yan siielewagi
 
Kuonesha kwamba inafaa kwa matumizi ya Kanisa.
 
Msalaba ulikuwa mmoja tu aliosuribiwa Bwana Yesu tu, mingine ni miti vyuma na alama za kujumlisha.
Msalaba ni utamaduni wa hukumu wa Warumi ambao nao waliuiga kutoka jamii jirani. Yesu ni mmojawapo ya wahanga wa hukumu ya msalabani hata siku ile wenzie kina Dismas walitundikwa
 
Huu uzi ni kwa wasiokuwa wa kristo waliokosa hekima
 
Ndio sakeamenti kuonesha ukifa ni mbinguni moja kwa moja
 
Back
Top Bottom