Peacesmart
Senior Member
- Apr 19, 2017
- 113
- 101
Why wanalitumia now?Kwani hao wadada ndio wameanzisha hilo neno mhenga?
[emoji15][emoji15][emoji15] wangetujibu wao wenyewe ingekuwa poa sanaWhy wanalitumia now?
Issue sio kulianzisha neno
Labda tuwasubiri kidogo warudi wapo mawindoni wkend leo[emoji3][emoji15][emoji15][emoji15] wangetujibu wao wenyewe ingekuwa poa sana
poaLabda tuwasubiri kidogo warudi wapo mawindoni wkend leo[emoji3]
Nani kakwambia lazima?Sio lazima kucomment