ETI WAHENGA!!!

ETI WAHENGA!!!

Peacesmart

Senior Member
Joined
Apr 19, 2017
Posts
113
Reaction score
101
Wakati wa utawala wa Jk wanaume hata mababu walikuwa wanaitwa Beibiii, kwa mahaba. kaja ngosha kaondoa hela mjini eti wanaitwa wahenga.
Wadada, Mungu anawaona jamani.
Imekaaje hii?
 
Kwani hao wadada ndio wameanzisha hilo neno mhenga?
 
Back
Top Bottom