Eti walikuwa wanazibiwa na Ronaldo?

Eti walikuwa wanazibiwa na Ronaldo?

Gwele

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2016
Posts
2,604
Reaction score
3,319
Watu wana maneno sana wakati Ronaldo yupo Real Madrid akifunga magoli 40+ kwa msimu kuna baadhi wakaanza maneno eti Ronaldo anabebwa na kina Benzema kwani wanalazimika kumpasia yeye tu ili afunge huku wao wakibaki watoa assist tu

Sasa Ronaldo kaondoka R.Madrid Benzema na wenzake wana uhuru wa kufunga kila nafasi wanayoipata kwani Ronaldo hayupo tena lakini tofauti na matarajio ya wengi Benzema na wenzake wameendelea kuwa butu huku timu ikishindwa kufunga goli lolote katika michezo takribani minne sasa.

Je ni kweli Ronaldo ndio alikuwa anawabania?
 
Mkuu namfatilia sana CR7 coz am his fan. Nafahamu nikiandikacho na hata alipofunga goli la kwanza serie A nilianzisha uzi humu. Leo pia katupia. Jamaa bado yupo juu,ligi ngeni ila bado anaendeleza ubabe.
Bilashaka hufatilii ligi ya Italy wala humfatilii Cr7. Kwa taarifa yako Ronaldo ana struggle mno na mpaka sasa ana magoli na assist chache sana.
 
Ooow waoo hilo goli la leo hujaliona mkuu?
La leo ndo la 4
Cr7.jpeg
 
Back
Top Bottom