Ronaldo ana average ya 2.1 key passes per game so far in serie a..a figure he achieved only once in 2010-2011 LA liga season.
Kwenye mechi saba za mwanzo serie a,ana average ya 37.3 passes per game figure hii hajawahi kuifikia hata 30 LA liga misimu mitatu iliyopita.
Average pass completion ya 88% hajawahi kuifikia akiwa Madrid.
Hii inatueleza kuna Ronaldo mpya Juve,mwenye umuhimu wa aina yake kulingana na style ya uchezaji ya Juve.Purukushani za Ronaldo ziko pale pale zenye kuichangamsha foward line ya Juve na kuwaletea madhara wapinzani