Eti walikuwa wanazibiwa na Ronaldo?

Eti walikuwa wanazibiwa na Ronaldo?

Kwa mgeni wa ligi na misuko suko anayoipata hayo magoli aliyonayo mbona mengi na bado ligi inaendelea,kuhusu assist Fatilia utajua.
Unadhani ntawezaje kujibu kama sifuatilii??
Mpaka sasa bado mgeni wa ligi tuu?..
tutakutana uefa tuu..
 
All the best mkuu
1538861038792.jpg

Unadhani ntawezaje kujibu kama sifuatilii??
Mpaka sasa bado mgeni wa ligi tuu?..
tutakutana uefa tuu..
 
Na ndilo wanalocheza juve ndo maana wana wafungaji wengi kila mechi na sio CR7 pekee
Ligi yenyewe msimu wa saba ni wao tuu.. sasa kuna ligi hapo?? uefa itaongea.. maana huko mnakulaga vipigo daily...
wachezaji wengi juve wanajua kushambulia ila mnajisahau kidogo tuu apo katikati.. kuja kushtuka. mshagongwa..
 
Bilashaka hufatilii ligi ya Italy wala humfatilii Cr7. Kwa taarifa yako Ronaldo ana struggle mno na mpaka sasa ana magoli na assist chache sana.
Ronaldo ana average ya 2.1 key passes per game so far in serie a..a figure he achieved only once in 2010-2011 LA liga season.
Kwenye mechi saba za mwanzo serie a,ana average ya 37.3 passes per game figure hii hajawahi kuifikia hata 30 LA liga misimu mitatu iliyopita.
Average pass completion ya 88% hajawahi kuifikia akiwa Madrid.
Hii inatueleza kuna Ronaldo mpya Juve,mwenye umuhimu wa aina yake kulingana na style ya uchezaji ya Juve.Purukushani za Ronaldo ziko pale pale zenye kuichangamsha foward line ya Juve na kuwaletea madhara wapinzani
 
Bilashaka hufatilii ligi ya Italy wala humfatilii Cr7. Kwa taarifa yako Ronaldo ana struggle mno na mpaka sasa ana magoli na assist chache sana.

WEWE NDO HAUFATILII MKUU,

RONALDO SERIE A
years 2018-19
Number of matches 7
Number of goals 3
Number of assists 4
yellow_card_icon.svg
0
red_card_icon.svg
0
 
Mkuu mie ni shabiki wa CR7 na sio juve. Nimeanza fatilia serie A sababu ya CR7 tu.Timu nnazozipenda ni R. Madrid na man u.

UEFA napo wanaweza toboa maana msimu huu wapo juu kiu ya ushindi
Ligi yenyewe msimu wa saba ni wao tuu.. sasa kuna ligi hapo?? uefa itaongea.. maana huko mnakulaga vipigo daily...
wachezaji wengi juve wanajua kushambulia ila mnajisahau kidogo tuu apo katikati.. kuja kushtuka. mshagongwa..
 
mpira unawenyewe CR7 salute..
ila pamoja na hali mbaya pale santiago bernabeu bado nasema Hala Madrid
 
Kwa ufupi kiwango cha soka duniani kimeshuka mno na hii inatokana na kuwekeza fedha kwa mabishoo badala ya wenye talanta.
Kila siku nawaza kwanini PSG walilipa pesa yote ile kwaajili ya neymar? nakosa jibu
Kwanini man u walilipa ile pesa kwaajili ya pogba ? Nakosa jibu naishia kusema mpira sasa unachezwa na watu walaini sana kama wanaume wa dar
 
Kwa mgeni wa ligi na misuko suko anayoipata hayo magoli aliyonayo mbona mengi na bado ligi inaendelea,kuhusu assist Fatilia utajua.
Serie A japo juve wapo vizuri ila kila mechi unakutana na upinzani wa beki si mchezo.siyo ajabu ukaja kusikia kila mechi beki zinamkamia CR7.usipokuwa makini utavunjwa miguu.Madrid nao japo baadhi ya wachezaji walisema tu pengo la Ronaldo halipo ukweli lipo ila itataka muda kidogo,kwanza wao wanatakiwa wauzoee mfumo wa kocha mpya.
 
Bilashaka hufatilii ligi ya Italy wala humfatilii Cr7. Kwa taarifa yako Ronaldo ana struggle mno na mpaka sasa ana magoli na assist chache sana.
Ameshafunga goli 4 na ametoa assist goli 4...amekua na trend nzuri ya assist kuliko misimu yote aliyocheza madrid mpk kufikia mechi 8 za mwanzo wa ligi
 
Ronaldo ana average ya 2.1 key passes per game so far in serie a..a figure he achieved only once in 2010-2011 LA liga season.
Kwenye mechi saba za mwanzo serie a,ana average ya 37.3 passes per game figure hii hajawahi kuifikia hata 30 LA liga misimu mitatu iliyopita.
Average pass completion ya 88% hajawahi kuifikia akiwa Madrid.
Hii inatueleza kuna Ronaldo mpya Juve,mwenye umuhimu wa aina yake kulingana na style ya uchezaji ya Juve.Purukushani za Ronaldo ziko pale pale zenye kuichangamsha foward line ya Juve na kuwaletea madhara wapinzani
Kocha wa Juve alinukuliwa akimsifia ronaldo kuwa "amekua mchezaji mwenye furaha na uhuru uwanjani" na hii ni kutokan na uchezaj wake ulioongezeka umakini katika kusaidia wenzake wafunge na kuanzisha mashambulizi
 
Back
Top Bottom