Mtu kama Neymar Jr ni uwekezaji mbaya kuwahi tokea tangu kuumbwa kwa misingi ya soka duniani.Kwa ufupi kiwango cha soka duniani kimeshuka mno na hii inatokana na kuwekeza fedha kwa mabishoo badala ya wenye talanta.
Hii ni ukweli mtupu.Kwa ufupi kiwango cha soka duniani kimeshuka mno na hii inatokana na kuwekeza fedha kwa mabishoo badala ya wenye talanta.
Walikuwa wanategemeana, Kwani Ronaldo ametupia mangapi mpaka sasa huko Juve!!? Hali mbaya kwa Madrid, Hali mbaya kwa Ronaldo
Bilashaka hufatilii ligi ya Italy wala humfatilii Cr7. Kwa taarifa yako Ronaldo ana struggle mno na mpaka sasa ana magoli na assist chache sana.Juve ana magoli na assist za kutosha. Kwa sasa madrid inahitaji usajili wa maana baada ya hapo timu itakaa poa sana.
Goli 4 mechi nane na assist ngapi sijui sio haba asee ukizingatia bado mgeni wa ligi.Bilashaka hufatilii ligi ya Italy wala humfatilii Cr7. Kwa taarifa yako Ronaldo ana struggle mno na mpaka sasa ana magoli na assist chache sana.
Unamjua Bebe? Alinunuliwa na Ferguson Man u, je Pogba?Mtu kama Neymar Jr ni uwekezaji mbaya kuwahi tokea tangu kuumbwa kwa misingi ya soka duniani.
Ana goli 3 tu na assist zisizozidi 4Goli 4 mechi nane na assist ngapi sijui sio haba asee ukizingatia bado mgeni wa ligi.
Bilashaka hufatilii ligi ya Italy wala humfatilii Cr7. Kwa taarifa yako Ronaldo ana struggle mno na mpaka sasa ana magoli na assist chache sana.
Unamjua Bebe? Alinunuliwa na Ferguson Man u, je Pogba?
Ana goli 3 tu na assist zisizozidi 4
La leo ndo la 4Ooow waoo hilo goli la leo hujaliona mkuu?
La leo ndo la 3 View attachment 889008
La leo ni 4 sawa
Magoli ya kutosha??.. assist ngapi??Juve ana magoli na assist za kutosha. Kwa sasa madrid inahitaji usajili wa maana baada ya hapo timu itakaa poa sana.