Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 602
- 969
Hapana sijawachunia mm mkuuAisee..mambo ya kitoto kabisa.ila usije ukawa ww ndio unawachunia mkuu.
Sina mazoea nao nje ya kazi, sijawahi kuonyesha interest , zaidi mmoja nilimpa liftWamekasirika windo lao limeharibika ndoa zimekuwa ngumu mno siku hizi
PremioKwani gari lako ni aina gani??
Mkuu achana nao wanawake utawaweza!Jamani jamani, baada ya kufanya engagement kuna hawa mabinti wawili hapa job wamenichunia, kila mmoja kwa wakati wake!! Sikuwahi kumtongoza hata mmoja kati yao! Zaidi ya kusalimiana tu na kushirikiana mambo ya kazi!!! Sasa sielewi sababu ya wao kuumia maskini... Mmoja nimeshawahi kumpa lift mara moja akienda kukutana na men wake! Tena nikampeleka hadi hoteli walimokutania!!
Sasa siwaelewi kwa nn wanichunie!!!
Nilimuuliza mmoja akajiumauma kuwa hana mood ya kuongea ila hajachuna, mwingine Akasingizia ameitwa kwa bosi nimtafute baadayeWaulize kwa nini wakuchunie
wafanyie engagement naoJamani jamani, baada ya kufanya engagement kuna hawa mabinti wawili hapa job wamenichunia, kila mmoja kwa wakati wake!! Sikuwahi kumtongoza hata mmoja kati yao! Zaidi ya kusalimiana tu na kushirikiana mambo ya kazi!!! Sasa sielewi sababu ya wao kuumia maskini... Mmoja nimeshawahi kumpa lift mara moja akienda kukutana na men wake! Tena nikampeleka hadi hoteli walimokutania!!
Sasa siwaelewi kwa nn wanichunie!!!
Wanajua, niliwataarifu pale ofisini watu wote coz hatupo wengiInawezekana hata hawajui habari zako za engagement wako na maisha yao tuu
SureMkuu achana nao wanawake utawaweza!
Unaomba ushauri? Kafungue jalada la malalamiko kituo chochote cha Police kilicho karibu nawe ili upepo wa kisuli suli ukija waleta kwako mchumba/mkeo ajue ulishawafungulia kesi.Jamani jamani, baada ya kufanya engagement kuna hawa mabinti wawili hapa job wamenichunia, kila mmoja kwa wakati wake!! Sikuwahi kumtongoza hata mmoja kati yao! Zaidi ya kusalimiana tu na kushirikiana mambo ya kazi!!! Sasa sielewi sababu ya wao kuumia maskini... Mmoja nimeshawahi kumpa lift mara moja akienda kukutana na men wake! Tena nikampeleka hadi hoteli walimokutania!!
Sasa siwaelewi kwa nn wanichunie!!!
Jichunguze kama kama uliwahi ongea maneno ya kujimwambafy na kuwasemea mabaya. Mtu mwenye man wake hawezi kukuchunia tuuWanajua, niliwataarifu pale ofisini watu wote coz hatupo wengi